February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,204
- 3,060
Hii ni kweli...Na wakiume hawapo karibu na baba zao piaFirst born hasa wa kike hawapendani na mama zao au niseme kwa lugha nyepesi hawana ukaribu na mama zao. Nimeona familia nyingi sanaaa
Kwa familia nilizoziona mimi nimeona tofauti, wa kike wako karibu na mama zao. Nikiwemo, akiwepo rafiki angu kipenzi na kwa baadhi wa ya watu wengine naona/nimeonaFirst born hasa wa kike hawapendani na mama zao au niseme kwa lugha nyepesi hawana ukaribu na mama zao. Nimeona familia nyingi sanaaa
Mzee hii sio kwamba hakuna exceptions.We kimburu last born hatupo kivivu siku nyengine usirudie kinyeramumo mkubwa we!
kuna ule ukaribu wa just huyu ni mama lakini sio mabest ki viiile kama mtoto wa pili au watatu au wakiume. Just my opinion per my observationKwa familia nilizoziona mimi nimeona tofauti, wa kike wako karibu na mama zao. Nikiwemo, akiwepo rafiki angu kipenzi na kwa baadhi wa ya watu wengine naona/nimeona
Mi mwenyewe last born nina ka uvivu kwa kweli ila nina upendo na watu mpka naumwa. Tabu zao natamani nizitatue zote mama yangu sitaki apate tabu.Mzee hii sio kwamba hakuna exceptions.
yani ndomaana nikasema wengi wako hivi
inamaana wewe lastborn mchapakazi mko wachache yani minority..
Sichukii yeyote me mwenyewe lastborn na sina hizo sifa ila majority wako ivo
Sina hata kimoja. Tena huyo Mshua ndiyo niko sambamba nae hadi mama anataniaga " wenye baba zenu "*wengi wana jeuri na kuona wengine hawajui vitu kama wao
*Wanataka wawe juu kwahyo hufanya kila mbinu wategemewe na familia
*hudharau hata wazazi wakiwazidi mafanikio (esp. wa kiume kumdharau baba)
Depal kipenzi hivyo ndo ukaamua kunikataa na kuniumia wa mbuzi kweli haki hii..?Last born wa kwetu kwenye upendo na heshima nakupa tiki, uvivu anao kiasi.
Sasa Kama nakupenda mi nifanyeje na unajua kwako breki hazikabi!! Na vile nionapo jina lako tu basi mapigo ya moyo hukaa umbo la kopa!.. nafasi finyu tu nipatie niwe mwandani wako uione furaha navyokupatia mamii.. huu ndo muda wa kutafuna Mambo maana meno angali yapo kipenzi..π
We fugufugu naona umeamua kutuzalilisha kabisa..πUmesahau hii[emoji116][emoji16][emoji16]View attachment 1598235
Siyo kimburu lakini atukome! Malast born wengine ndiyo tunategemewa na familia nzima na tunachapa kazi kweli kweli. Last born wavivu mai futi [emoji51][emoji51][emoji51]We kimburu last born hatupo kivivu siku nyengine usirudie kinyeramumo mkubwa we!