FIRST AID: Mara UMWAGIWAPO TINDIKALI (ACID)

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,230
Reaction score
10,201
Wakuu JF Amani iwe Nanyi

Kutokana na Matukio yaliyokithiri ya watu Kumwagiwa Tindikali, na kwa kuwa hatujui nini kitatutokea.
Kwa wale ambao wanajiona wako Vulnerable kumwagiwa ACID (Kumwagiwa Acud Prones),
Nimeona ni Bora Nije na Kaushauri kadogo ambako kanaweza kuwa Msaada katika kujipatia Huduma ya Kwanza.
Kwa vile tunajua (From Chemistry) kuwa Tindikali (Acid) ikichanganywa na Base (Alikali) Matokeo huwa Chmvi na Maji.
Hii ni Property ya Acid na Base.
Mathalani, Hydrochrolic Acid (HCL) ikichangnywa na Sodium Hydroxide (NA0H), Zao huwa ni Maji (H20) na Sodium Chroride, Chumvi (NACL)

Hivyo Basi, Muda umefika sasa wa kuanza kutembea na kikopo cha alkali,ukimwagiwa tindikali na wewe unai-neutralize kwa kujimwagia kidogo!
 
Mpaka hizo reactants ziwe products uso wote utakuwa majanga.
 
Unaweza kushangaa unatengeneza mlipuko ukakulipua kabisa badala ya kukuunguza!
 
Nilipoiona thread hii kwenye jukwaa hili(MMU)nilifikiri ni tindikali ya kivingine.
 
Wewe utakua unataka kutengeneza
InChI=1S/CH2O3.Ca/c2-1(3)4;/h(H2,2,3,4);/q; 2/p-20„2Y
 
Wakati naifungua hii thread nilitarajia kukutana na uchambuzi uliopevuka zaidi ya huu...
Mathalani ungejaribu kupambanua mifano dhahiri ya nyongo ambazo sio za viwandani kama hiyo Sodium Hydroxide...n.k
 
Considerable heat is generated due to the neutralization reaction. This heat of reaction can be Sufficient to melt parts of the neutralization system. Jaribu uone!
 
Mkuu uanamuaibisha Mwalimu wako wa chemia

Nakumbuka lab tukiwa tunafanya practical kama acid ikikumwagikia unatakiwa uoshe hiyo sehemu na maji mengi hyo ishu ya alkali naiskia kwako
Alkali+acid= salt and water only

Unajua salt gani itatengenezwa???

Kama ni sulphuric acid
Itatengeneza salt ya sulphur
Hapo sulphur madhara yake yatakua makubwa
 
... Hivi hii tindikali inapatikana wapi?

Mwenye kujua anijuze, ili niwezekujilinda na vibaka, na hasa wale wakwangua vioo vya magari barabara kwenye foleni.
 
MKUU BORA UNGESEMA MTU AJIOSHE WITH PLENTY OF WATER lakini hii ya kwako ni inaweza kuwa hatari
 
Ha ha ha ni kweli but the advantage is that dring formation of product compounds(salt and water) heat would be produced(Energy must be evolved in any chemical rexn) this results to extremely burning of your skin

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
siku zote acid ina high affinity with water hence always requires water inoder to be neutralized, kwahiyo unahitaji acid uipeleke kwenye maji nacyo maji uyapeleke kwenye acid(moto utatokea) ni bora uweke maji ya chumvi au ya bahari sehemu uliyomwagiwa tindikali au acid.
 
Ha ha ha ni kweli but the advantage is that dring formation of product compounds(salt and water) heat would be produced(Energy must be evolved in any chemical rexn) this results to extremely burning of your skin

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

What kind of reaction would that be??

Exothermic or endothermic

Heri iwe endothermic
 
Wakuu JF Amani iwe Nanyi

Kutokana na Matukio yaliyokithiri ya watu Kumwagiwa Tindikali, na kwa kuwa hatujui nini kitatutokea.
Kwa wale ambao wanajiona wako Vulnerable kumwagiwa ACID (Kumwagiwa Acud Prones),
Nimeona ni Bora Nije na Kaushauri kadogo ambako kanaweza kuwa Msaada katika kujipatia Huduma ya Kwanza.
Kwa vile tunajua (From Chemistry) kuwa Tindikali (Acid) ikichanganywa na Base (Alikali) Matokeo huwa Chmvi na Maji.
Hii ni Property ya Acid na Base.
Mathalani, Hydrochrolic Acid (HCL) ikichangnywa na Sodium Hydroxide (NA0H), Zao huwa ni Maji (H20) na Sodium Chroride, Chumvi (NACL)

Hivyo Basi, Muda umefika sasa wa kuanza kutembea na kikopo cha alkali,ukimwagiwa tindikali na wewe unai-neutralize kwa kujimwagia kidogo!
teh teh teh... Hizo reactions zinatokea kwenye beaker ww sio usoni...
 
Kwani reaction itakuwa endothermal au exothermal?

Ha ha ha ni kweli but the advantage is that dring formation of product compounds(salt and water) heat would be produced(Energy must be evolved in any chemical rexn) this results to extremely burning of your skin

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ha ha ha, wewe tumefikiri sawa, kama reaction itakuwa endothermal hapo yaweza kuwa nafuu.

Ila ukute ikasababisha -100 degree centigrade, si utaganda?

What kind of reaction would that be??

Exothermic or endothermic

Heri iwe endothermic
 
Back
Top Bottom