Mchagua mke aliangalia personality na akili .... vipodozi havilei watoto na uzuri hauwezi kumshauri mume kufanya maamuzi magumu.Jamani huyo wa Mkapa alikuwa hatari, yaani pamoja na vipodozi vyote hivyo bado halipi? Mwangalie Mama Maria, natural and beautiful.
Tiba
Mchagua mke aliangalia personality na akili .... vipodozi havilei watoto na uzuri hauwezi kumshauri mume kufanya maamuzi magumu.
huyo wa Ben mbona aliweka hizi picha kachukua anayolia sijui alikuwa msibani au la?Jamani huyo wa Mkapa alikuwa hatari, yaani pamoja na vipodozi vyote hivyo bado halipi? Mwangalie Mama Maria, natural and beautiful.
Tiba