Kimsingi inatakiwa kila baada ya kilometa zisizozidi 3 kuwe na bomba kubwa la maji kwa dharura kama hizi kwakuwa fire ikibeba maji mengi sana itapunguza speed na accessibility ya kufika eneo la tukio kwakuwa gari itakuwa kubwa sana

Kiongozi sisi tumechelewa sana huduma hizi na inakuwa kama hatuoni umuhimu wake, haya tufanye hatufahamu, je bado hatujifunzi kutoka kwa wenzetu?
Wahusika si huwa wanaenda nchi za nje sasa ina maana hawajifunzi au hawaigi maendeleo?
Pesa wanazoiba si bora wangekuwa wanatuboreshea huduma muhimu za afya, nyenzo, usafiri, miundombinu n.k, huku hizo nyingine waendelee kutumbua ingekuwa nafuu kiasi fulani