Mkuu nadhan umesahau kwa kukukumbusha hawa jamaa ndo walianza mwaka kwa kutangaza post za kumwaga kila daraja kuanzia koplo,sajent had wasaidz wasimamiz na weng waliomba wamemalza koz wapo kazn
mkuu wameshaanza kazi tayar mbona? nina watu wangu wa5 tayar wapo kazn na mafunzo walishapa wengne kiwila tukuyu na wengne pale uwanja wa taifa mwalimu nyerere