Royal Security Solution
Member
- Oct 10, 2020
- 14
- 16
KUTOKANA NA ONGEZEKO LA SHULE KUTEKETEA KWA MOTO
Royal security solutions tumekuja na teknolojia ya kudhibiti kabisa tatizo la mabweni kuteketea kwa moto kila kukicha ..
Janga hili limekuwa likiongezeka na kuarifiwa kwenye sehemu mbalimbali za nchi yetu kila kunapokucha .
Royal security solution tumekuja na mfumo wa Fire Alarm system ambao utatoa taarifa mapema kabisa kabla hata moto kuwaka .
Mfumo huu utakuwa unahisi aina yoyote moshi au ongezeko la joto katika eneo husika . Kiwango cha carbon , joto, na moshi vitaashiria kuwa kuna hali ya hatari.
Mfumo huu umeunganishwa na king'ora pamoja na taa ya strobe ambavyo kwa pamoja vitawaka na kuashiria hali ya hatari kabla hata ya moto kuwaka.
Karibu tulinde mabweni ya wanafunzi, nyumba zetu ofisi , viwanda , stoo pamoja na maeno ambayo yana hatari ya kupatwa na moto..
ROYAL SECURITY SOLUTIONS
0710201330
Mbezi beach ,Makonde
DAR-ES - SALAAM

Unaweza kufunga nyumbani , ofisini, shule , hospitali, kiwanda , eneo la mradi na godauni .
KARIBU TKUFANYIE KAZI BORA NA SAFI KWENYE ENEO LAKO .
ina uwezo wa kuzunguka na kuona pande zote kwa picha angavu kabisa usiku na mchana
Call0756 330 743