Finland kujiunga NATO

Finland ndo nani..akileta ujuaji wa Ukraine nae anachezea bomba tu
 
Jana watuma maombi baada ya wikimbili majibu yana patikan.Russia inadhan kutishia ndo kutatua ndo kwanza inaongeza
 
Mkuu ni Finland na Sweden.,
Tumuone sasa Putin kama ana majeshi ya kupigana na nchi tatu, Putini kamasi lazima zinamtoka, huku mabint wake wamezuiliwa akaunti zao taaban putin
 
Finland amewahi mpiga nani... kwenye list nchi zenye nguvu ya kijeshi ni wa ngapi? Acha mboyoyo braza. Juzi tu mlikuwa mnasema Russia hawezi kuipiga Ukraine, leo mnahamia Finland 😂🚮
Mkuu ni hivi Putini alizionya Finland na Sweden zisije zikajaribu kujiunga na NATO na zikijaribu watakiona kama anavyokiona Ukrane siku zile za kwanza za umavimizi dhidi ya ya Ukraine na hizi nchi kweli zilirdhiria ndaro za urusi na kuja na sera ya kuendelea na sera zao kutokufungamana lakini baada hii vita ya Ukraine kuonekana madhaifu ya Urusi kwenye vita, hizi nchi sasa zimebadili mtazamo wanasema watajiunga na NATO ili Russia kama akileta ngebe apokee kibano chengine kutoka Finland na Sweden chini ya baba lao Marekani. Ndio mana tunasema zama za Putini zimekwisha
 
Ili dunia iwe salama inabidi Russia atumie kombora moja tu la Nuclear

Sio kla mada lazma uchangie unaweza nyamaza tu sabu unaleta mzaha kwenye mantiki Nuclear si Ccm na Chadema iyo au sio wale malaya wa Sinza madhala yake ni madogo ila nuclear ni ttzo la dunia nzima
 
Finland amewahi mpiga nani... kwenye list nchi zenye nguvu ya kijeshi ni wa ngapi? Acha mboyoyo braza. Juzi tu mlikuwa mnasema Russia hawezi kuipiga Ukraine, leo mnahamia Finland [emoji23][emoji706]
Kwa hiyo hapo Russia keshashinda vita[emoji3][emoji3],anaeshinda vita anafikia hatua ya kubadili hadi Kamanda wa kuongoza mashambulizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…