Mmmh! mie nafikiri ikianzishwa system hii ya fine ndo vifo kwa sababu ya malaria vitazidi kuongezeka. Kwa sababu, watanzania tunapenda sana short cut, so mtu atapata maambukizi ya malaria na hataenda kupima kwa kuogopa fine atajiwahia dawa za kienyeji kama mworabaini au mshubiri n.k then atatulia. mwisho wa siku atapata chronic malaria na ndo mwisho wake!
Hebu jaribu kufikria ni watanzania wangapi tena wengine wana uelewa wa kutosha tu wanajiskia mwili upo uvyo ovyo badala ya kwenda kupima huwa wanawahi pharmacy na kujinunulia dawa za malaria na kujinywea pasipo maelekezo ya mtaalam!Sasa ukiweka fine hapo, si ndo umewafukuza kabisa hospitalini?
I think we need to start with culture change!!