Mda fulani kulikua na malalamiko kua traffic wanapiga sana fine za makosa ya usalama barabarani hadi watu wakifikia hatua ya kuwaita PRA lkn kwa siku za hivi karibuni naona malalamiko hayo hayapo tena humu JF.
Je ni kwamba watuhumiwa wameahaizoea hiyo Hali au madereva wameamua kutii sheria bila shuruti?
Povu ruksa.