SOKONOYI
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 237
- 221
Samahani wadau,
Kuna jambo nahitaji kuelimishwa zaidi kama kuna mdau humu anayefahamu kiundani kuhusiana na FINE wanazotoza polisi wa usalama barabarani.
Kwanza nianze kulipongeza jeshi la polisi kwa kuboresha utendaji wao na hatimaye wamekuwa wakusanyaji wa fedha wazuri.
Kinachonitatiza ni je, hili swala la kukataza tinted na sport light halikuwa na grace period kwa wananchi tupate taarifa? Jana nilijikuta nabishana na polisi baada ya kunikamata na kunilipisha fine kwa kosa la tinted tulizozoea kuweka kwenye windscreen kama kamkanda ka kukinga jua. Mimi nilifikiri kosa ni kuweka full tinted kumbe hata hako kamkanda wamekataza.
Najiuliza hii January ilivyo na majukumu mengi, inakuwaje inabuni vyanzo vya mapato kupitia fine?
Kwanini wasiboreshe huu utaratibu, traffic police wapewe mashine za EFDs kukusanyia hizo fine?
Je, kila kosa polisi wanatakiwa tu watoze fine? Hakuna makosa ya kumkumbusha tu dereva na kumpa onyo?
Kweli traffic sina hamu nao