Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,890
- 141,552
Funny 😄Bongo chicks fear fine dining cz most cant use the cutlery........eat chicken with a fork & knife?...that sh*t scares the hell outta em ho`s....!
Bongo chicks fear fine dining cz most cant use the cutlery........eat chicken with a fork & knife?...that sh*t scares the hell outta em ho`s....!
Apa ata nipata kamwanga ka Uzi husika [emoji23]
Fine Dining haina " Kaka samahan unaweza kuniongezea kachumbari kidogo"
My concern shouldn't be whether a chick is down for a fine or casual dining, should be whether she is down to .f.
Sasa nitatafunaje mifupa?
Nitakudoweaje sahani yako?
Nitatowezeaje Chumvi?
Kikubwa mimi sishibi nkila na uma, kisu, kijiko sishibi yaani sishibi kabisa.
Ila pia ni kujishtukia tu , mbona Mtambuzi nkimfataga pale kwake ananileteaga maji ya kunawa na tissue, maana ananijua hapo nitasosomola na nitashiba hasa.
I never pay for it.If that’s the case why not go cop yourself a streetwalker?
Si kweli hata kidogo. The so called fine dinning restaurants they value the philosophy,'a customer is a king' so whatever you what as long as it's within their capabilities they will do it.Fine Dining haina " Kaka samahan unaweza kuniongezea kachumbari kidogo"
We kweli Mnyamwezi.Sasa nitatafunaje mifupa?
Nitakudoweaje sahani yako?
Nitatowezeaje Chumvi?
Kikubwa mimi sishibi nkila na uma, kisu, kijiko sishibi yaani sishibi kabisa.
Ila pia ni kujishtukia tu , mbona Mtambuzi nkimfataga pale kwake ananileteaga maji ya kunawa na tissue, maana ananijua hapo nitasosomola na nitashiba hasa.
he He He kula na epron kama mwanangu haki sishibi, kuna ile translation ya kuweka vijiko na uma ukiweka tofauti unashtukia muhudumu amekuja ameondoa kumbe ulikuwa unatafuta pozi unabaki unajiuma jiuma, table manners ni mtihani kwa kweli.Ngoja tujifunze matumizi ya kisu na uma, matumizi ya starter, main dish na desert, matumiz ya table manners, how to use napkins, alafu tutafaa tu mkuu usiwe na haraka.

Umeona eehhe He He kula na epron kama mwanangu haki sishibi, kuna ile translation ya kuweka vijiko na uma ukiweka tofauti unashtukia muhudumu amekuja ameondoa kumbe ulikuwa unatafuta pozi unabaki unajiuma jiuma, table manners ni mtihani kwa kweli.