FINCA wanaziogopa Upper second hasa za UDSM!?

Status
Not open for further replies.
TCU ndo wamekiuwa udsm maana siku hizi si kama enzi zetu unaaply chuo so nowday kilachuo kinapokea wanafunzi toka tcu sasa hivy kuna watu wana 3 ya 13 wapo udsm wakati hiki kitu enzi zetu hakikuwepo kabisa ni div 1 au 2 ya mwanzo
 
......Umekuwa mkweli zaidi na kutokana na tabia ya Wabongo kutopenda kusikia ukweli subiria waje wenyewe wameenda kununua matusi na kejeli ili waje kukuogesha navyo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…