Malignant Tumor
Senior Member
- Apr 12, 2013
- 190
- 99
TUNASHUKURU, PAZIA LIMEFUNGWA, TUMEPATA CV ZA KUTOSHA.
Kwa niaba ya Envision Consulting Co.Ltd.Nahitaji mtu wa Account au finance kwa ajiri field au temporal work.Vigezo na Masharti.Awe Binti.Awe graduate/student lakini sio wa mwaka wa kwanza.Awe mchapakazi,mbunifu na mvumilivu.Asiwe mvivu,Awe na nidhamu ya hali ya juu.Siku za kazi ni J3-Jumamosi,muda ni saa 8:00 asubuhi hadi saa 10:30 jioni.Kwa j1 Mwisho saa 2:00 mchana.Aliye tayari anicheki kupitia karatta@envision.co.tz au finance@envision.co.tz