Bro fafanua hapo.Habari wakuu
Kwanza kabisa nikiri for last 2 month my life has been a living a hell,nimeendelea kua na bad luck kwenye mahusiano kiasi chakunifanya nikate tamaa yakumpata mwenza ingawa najipa moyo bado naweza kufanikiwa maana hakuna namna nyingne(soon or later i should have someone)
I was in relationship with a girl of whom i thought we had the same intention,unfortnately i came to realize we were not,nilimpenda sana nikapata matumain mapya yakua na msichana ambae anajielewa kumbe she was worse,amenifanyia kitu ambacho sikutegemea and kumuadhibu nimeamua kumsamehe ili nipate muda mzuri wa kumuumiza kama ambavyo amenifanyia,kwanza mapenzi nae sina ingawa ukinikuta nae utasema this is it,a lovely couple ever,namjali sana,namdekeza ila deep down nataka anipende unconditional na awe vulnearable alaf what next God and I knows,,,sijaeleza much details coz muhusika anaweza kuwepo umu so mtaniwia radhi
I just wanted to write something and here i dd
jion njema
Kama utaamua kumuacha we muache bila kujali kuwa unataka kumuumiza,suala la yy kuumia litokee kama bahati mbaya na co kusudio....Epuka visasi kwani mwanamke ni dhaifu hata ww una udhaifu wako..utakuja kumkosea huyo next girl wako nae atakufanyia surprise attack...REF:UTUSAMEHE KAMA NASI TUNAVYOWASAMEHE WANAOTUKOSEA NA USITUTIE MAJARIBUNI...Ww mwambie humtaki ili akuheshimu ila usisubiri kumvizia umuumize kwan huwez jua atakuchenjia muda gani.nataka nimuache kipindi ambacho atakua yuko kwenye peak yakunipenda,,,by doin that ntakua nimempa funzo kwamba nxt time akisema anampenda mtu maanishe
Kama umeamua kumsamehe msmehe let it go utapata chaguo sahihi Kwa wakati sahihinataka nimuache kipindi ambacho atakua yuko kwenye peak yakunipenda,,,by doin that ntakua nimempa funzo kwamba nxt time akisema anampenda mtu maanishe
Kwani had umsaidie kW njia hiyo it not serious!nataka nimsaidie nxt time asifanye ujinga km uo
nafaham kama nataka kufanya jambo labusara thats is exactly what i should do ila i jst want to do a stupid thing kumuonyesha how it painsKama utaamua kumuacha we muache bila kujali kuwa unataka kumuumiza,suala la yy kuumia litokee kama bahati mbaya na co kusudio....Epuka visasi kwani mwanamke ni dhaifu hata ww una udhaifu wako..utakuja kumkosea huyo next girl wako nae atakufanyia surprise attack...REF:UTUSAMEHE KAMA NASI TUNAVYOWASAMEHE WANAOTUKOSEA NA USITUTIE MAJARIBUNI...Ww mwambie humtaki ili akuheshimu ila usisubiri kumvizia umuumize kwan huwez jua atakuchenjia muda gani.
Unaeza kudhani ndio best option kumbe hata habari hapati we huna mambo ya kufanya mkuu? Achana nae Fanya mambo yakonimewaza sana nikagundua kumfundisha in hard way ndo best option
hahaha kusema kuhakikisha ananipenda mpk anakua vulnearable in other words ndo kuhakikisha baada yakumuacha anaumia,,,miongoni mwa kaz zangu zamaana this month imekua nipamoja na iyoUnaeza kudhani ndio best option kumbe hata habari hapati we huna mambo ya kufanya mkuu? Achana nae Fanya mambo yako
Really?? Na unajisifu? Unanishangazahahaha kusema kuhakikisha ananipenda mpk anakua vulnearable in other words ndo kuhakikisha baada yakumuacha anaumia,,,miongoni mwa kaz zangu zamaana this month imekua nipamoja na iyo
Hapo kwenye it niimanisha you are sjui nilikua nakimbilia wapiKwani had umsaidie kW njia hiyo it not serious!