[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dogo nimecheka hadi nimekaa chini. Hili povu hata mimi dada yako nilishawahi kutolewa leo na wewe unapewa vidonge nimeshindwa kujizuia kucheka kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisa mwanaume nijinyongee woi ,eti sijielewi hebu kuwa mtu mzima wajaribu nini huelewi huelewi basi period .Joanah troublemaker na wengine.
Kwa majibu komedi kuna kijana alijinyonga.
Huyu mtu hayupo sawa tujitahidi kujibu huku tukikumbuka tukio lililopita na situation aliyopo mleta uzi.
Kasema anahitaji counseling. Kasema ANAHITAJI counseling.
Hivi ni jiyonge kisa wewe nitachekwa na watu kweli tena kwa sauti kubwa hakuna kitu chini ya jua ambacho .Kuandika sijaelewa uzi ni comment ya kumfanya mtu ajinyonge?
Labda kama umenitag kwa bahati mbaya
Sina jabza mimi Mmasai ndio tatizo.katoto kazuri, nitalifanyia kazi tatizo lako ila punguza jazba
Halafu sishangai ndivyo ulivyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa najiuliza kwanini sielewi huu uzi,ikabidi niangalie mleta uzi ni nani.....