Enhee twende kazi, Joanah kafanyaje?Joanah wewe unaakili humu wewe unajitambua humu peke yako na shangaa unafanya nini kwa watu ambao hawajitambui utachekwa na watu.
πππ nawewe ndio upo single huna mume kisa unaedit hata wanaume ulionao.
Hivi kisanga kama hicho unategemea uandishi uwe mwanahabari? Tumtie moyoDaaah....[emoji56][emoji56]
Mleta mada ana matege pande zote.
Mwisho wa siku hata haeleweki anazungumzia nini.
Lakini EPL inaanza tarehe 17 mwezi huuNaona Uzi unapiga uturn hapa. Ngoja nikoroge kahawa kabsaa nishuhudie hii epl.
Unaona Sasa? Unjifanya kila kitu unajua ndo Mana katoto kazuri anakumaindi. Mwanamke wajue kilakitu weye?Lakini EPL inaanza tarehe 17 mwezi huu
Unaona Sasa? Unjifanya kila kitu unajua ndo Mana katoto kazuri anakumaindi. Mwanamke wajue kilakitu weye?
Mwambie asiwe mjionga huyop mumoe, tutamuita kwenye kikao cha nidhamu cha wanaume wenye ndoaJoanah wewe unaakili humu wewe unajitambua humu peke yako na shangaa unafanya nini kwa watu ambao hawajitambui utachekwa na watu.
πππ nawewe ndio upo single huna mume kisa unaedit hata wanaume ulionao.
Sawa ila mie nimeona kusafiri inshu watoto naacha kwa mama sio vidogo vitamudu tu kwa one or two weeks.Kama unaweza kumuacha muache Kama huwezi usijaribu,Jambo lafamilia kuingilia kati haimaanishi ndo kutatua tatizo! Vitu vyengine ni vyema kuvirukia kwa mbele ujue kabisa kuwa hivi nikiweka zege au gogo haya maji yatapita au hayatapita je,yakipita itakuwaje..??
Ila hio lugha dada inaonyesha bado mgeni kwenye hii lugha yetu!.. ndio maana wengine kukuelewa tabu.
Asanteee sana RafikiKatoto kazuri mi ntajitolea kukufundisha lugha ya kiswahili.. Maana this is too much
Ila pole sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dogo nimecheka hadi nimekaa chini. Hili povu hata mimi dada yako nilishawahi kutolewa leo na wewe unapewa vidonge nimeshindwa kujizuia kucheka kwa kweliLoh![emoji1784]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa najiuliza kwanini sielewi huu uzi,ikabidi niangalie mleta uzi ni nani.....
Joanah troublemaker na wengine.
Kwa majibu komedi kuna kijana alijinyonga.
Huyu mtu hayupo sawa tujitahidi kujibu huku tukikumbuka tukio lililopita na situation aliyopo mleta uzi.
Kasema anahitaji counseling. Kasema ANAHITAJI counseling.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilikuwa najiuliza kwanini sielewi huu uzi,ikabidi niangalie mleta uzi ni nani.....