Finally nimejua ya moyoni

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,761
Unakuta mume unamfulia,mpikia,kumung'arishia nyumba na wewe unawaka kama nini baadae nikiwa namuandalia chakula nikasikia simu yake inaita.
Kusikiliza ni mchepuko.
Haloo.

Binti mbona tulishaagana ukasema usipige simu niko nyumbani?

Yule dada akaanza wakiitwa wenye wake utatoka unamke mfupi haonekani.
Seriously?🤔

Unakujaga kwangu kunipa kushusha aibu nahuku nimemzalia mapacha kwanza yeye mwenye sio mrefu.

Mchepuko alinichafua kwa hasira mme wangu akajibu uwe na heshima.
Nimke wangu.

Basi usiku tumelala nikaomba simu yake kisa ni kuna game nalipendaga tu nasimu yake ndio unaweza pata.

Akanipatia nikasearch received calls zote za hizo saa na nikahamishia kwangu nikamkiss nikadai sijafunga vitu baadhi huko jikoni .
Nikaomba uzuri kulekule

Basi nikaelekea jikoni kufika simu ilisaviwa kituliza moto , wanyumbani .
Wangu.

Sasa wadada kubip wangu kumbe ni namba yangu mpya sikujua ni yangu .

Ingine nikapiga kituliza moto akapokea mwanamke nani.

Nikamuliza wewe nani ?

Mi mke wa Joh maana ndio nikname ya mme wangu akakata nikapiga kwa namba ingine akapokea nikamuuliza maswali yote haikuwa rahisi akasema yote.

Alah! Kumbe makubwa hivi nikaona ngoja nijitue kwanza nikaenda sebuleni tena ya private.

Akaendelea kunipa michapoo huku anaongea na mrekodi hajijui .

Alipomaliza nikamuhakikishia sintomdhuru.
Tegemea kuwa hajui kitakachomtokea kibwana chake na hali hii ya corona.

Kibwana chake ndio mali yangu.
Uzuri wanapotezeana muda wala hata kitu cha maana hakufanyiwa.
Namba ingine ilisaviwa Binti nikajua ndio yule fulska.
Nikashusha pumzi nikamcall haloo.
Haloo .

Nikamuuliza wewe ndio binti ndio nani wewe mimi ni mke wajoh weee! Akaja juu sasa kumbe wewe mbilikimo nimekasirikiwa kisa wewe alisemaaa mpaka hapo na mrekodi alitema cheche.

Mimi kimya namuuliza anajibu namuuliza anajibu.
Mwisho uhusiano wenu ulianzia wapi kabla hujaolewa umeniaribia ramani zangu hapa mjini.


Nikaona nimuulize kwani huwezi kuwa na mwingine akadai hapana .
Akaanza vitishooo oh simuachi wewe hujioni huna hata haya umevamia mji nitakufanyia ovyo mpaka nina mtoto naye what.

Hapo nikahang simu akanza kupiga nikamwambia usiku mwema usijali sintokusumbua tena akaona tumeelewana .

Jana nikataarifu baba mkwe na nduguze.
Wote kwetu ni watu ukiolewa hajali tena you are problems so niko na fight tu.

Mume wangu ni mtu nampenda maana niwakipekee I LOVE HIM anajua mi wake ila the thing which ninayo do kwanza kikao kimeisha muda uliopita nikimoja ndugu zake wajue kuwa ni malaya na ipo siku hao malaya zake watavuka mipaka.

Leo kikao was 8:00pm nini kimeanza soo.
Mme wangu jana nilimuomba leo asiende kazini kwani nduguze watakuja early in the morning .

Akauliza nini kinawaleta leo nikamjibu kaaa uyashuudie.

Basi wakaja so kikao kikaanzwa na nikawasikilizisha malaya zake .
Baba wawili akataka kuzimia akaambiwa kabla hujazimia tukuwaishe hospitali?

Hawa niwakina nani unawatoto wakubwa na pia unawatoto wadogo wakulea ndio hii tabia umeianza kumbuka mke wa kwanza alienda kisa tabia hizi na bado unaziendekeza na kwa huyu mwingine.

Kweli unamtoto na huyu mwanadada anaitwa binti ndio.
Anaumri gani 10 .
Urafiki wenu wa muda gani 20 meaning yeye ndiye alisababisha mama mimi aondoke na kuolewa upya ndio.

Akasema siwezi muacha maana kila nikimuacha ananitishia kuwa atalogea familia yangu .

Bweee wakamuuliza sio sababu akaanza kuelezea matatizo yalivyokuwa yanamtokea yeye nihuyo malaya anacouze seriously??

Nilichoka kuna mambo hata huwezi simulia hapa utaonekana kama huna akili eti .

Basi desecions ikamadiwa .
Wazazi wana kutana na binti nakumuombea nakumkanya kuwa na mume wamtu nikashetani hako kabinti.

Nikawaza kama nilikuwa na mtu / watu walitaka kuharibu ndoa yangu nikakataa je huyu mwanaume yeye siameifuta kabisa meaning hapo amekiuka taratibu za ndoa .

Leo muwe mnashauri kiakili sio kimatusi kwa maana mpaka na sasa kichwa sio kizuri mwanaume ni mhandsome ,heshima anatoa yote na tena hanisumbui kwa mambo madogo ni muelewa ila ana michepuko balaa .

Na pia anakila rangi ,saizi na kila umbo .

Nimechoka nivizuri past tense last week nilienda kupima tu sikujua kuwa kumbe ilitakiwa .

WANAUME SHIKAMOO NYIE MNAWEZA UA WATU NA SIO TIME YAO KABISAA .

WANAWAKE TUNALOO BIBI UTAPENDWA UTAJALIWA NA KUJIONA WAPEKEEE KUMBE MWANAUME KAKUONA HAUSIGELII.

UNAENDESHA IST AU RV4 MWENZIO VOGU AU RANGE ROVER ZAKISASA NA MJENGO WA HATARI ANAO.
 
Nilikuwa najiuliza kwanini sielewi huu uzi,ikabidi niangalie mleta uzi ni nani.....
Joanah wewe unaakili humu wewe unajitambua humu peke yako na shangaa unafanya nini kwa watu ambao hawajitambui utachekwa na watu.
😂😂😂 nawewe ndio upo single huna mume kisa unaedit hata wanaume ulionao.
 
Pole sana, Ila kiukweli mwanaume kwenye suala la Sex na kupenda ni vitu viwili tofauti kama mbingu na Ardhi, Nadhani hata wewe hapo unashindwa uamue nini maana kama upendo unapata na anakujali bila shida yan, Maana yake ni kwamba ukifikiria muachane unakosa nguvu coz bado anakujali na hajakufanyia ubaya kwa jeuri kiasi uone huwezi kuwa nae tena

Ushauri wangu ni kuwa jaribu kushirikisha ndugu zake wanaoweza kumsihi aache tabia hiyo maana si salama kwa afya yenu wawili, Usijaribu kulipiza kwa kuchepuka hakuna atakaye kuelewa katika hili

Maana mwanaume kuwa na wanawake wengi ni kama sifa flan hivi ila kwa mwanamke ni kashfa ambayo hakuna atakaye kuunga mkono

Nawasilisha [emoji870]
 
Joanah wewe unaakili humu wewe unajitambua humu peke yako na shangaa unafanya nini kwa watu ambao hawajitambui utachekwa na watu.
😂😂😂 nawewe ndio upo single huna mume kisa unaedit hata wanaume ulionao.

Kina nani hawajitambui katoto kazuri ?
 
Kina nani hawajitambui katoto kazuri ?
Ndio unajisikiaga sana kuwa wewe unaeleweka , unajipa maksi ambazo si zakweli wewe ndio wewe hatupigani nakuambia ukweli nimechoka kuficha ,
Sisi hatujitambui wewe unajitambua sana tu ila chini ya kapeti ujue wote ni wanawake.
Ukiona post za wengine kama yangu usikoment kisa nini kisa you are to clever and you will not understand what i am saying,.
Period.
 
Umeongea ukweli kabisa halafu ndio nimeshawasilisha kabisa leo asubuhi wakaja kwa mada husika . Ila hata first wife alilishindwa hili sijui what i will do??
I need counseling right now.
 
Daaah....😇😇
Mleta mada ana matege pande zote.

Mwisho wa siku hata haeleweki anazungumzia nini.
 
Joanah wewe unaakili humu wewe unajitambua humu peke yako na shangaa unafanya nini kwa watu ambao hawajitambui utachekwa na watu.
[emoji23][emoji23][emoji23] nawewe ndio upo single huna mume kisa unaedit hata wanaume ulionao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa najiuliza kwanini sielewi huu uzi,ikabidi niangalie mleta uzi ni nani.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitafute nikushauri jambo zuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa najiuliza kwanini sielewi huu uzi,ikabidi niangalie mleta uzi ni nani.....
Naona Uzi unapiga uturn hapa. Ngoja nikoroge kahawa kabsaa nishuhudie hii epl.
 
Pole sana jamani, ila pambana mwenyewe ukimshirikisha Mungu, maana ndugu wa mme bwana niwachache sana kusimama na mke wandani mara nyingi huwa wanafiki sana huko pembeni wanagongeana, ila mambo yakiwa ni bora! Halafu nilikuwa najiuliza mwandishi wa huu uzi nilianza kuusoma tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…