Ukweli uko palepale whether we like it or not,mtaani 2nawakaribisha sana ila mawazo mgando ya kutaka kusaka kazi jijini tu itawatokea puani labda km unachannel(vimemo) hata kama ni nje ya jiji omba ukafanye upate experience kidogo,mtaa ni kugumu kama utabweteka usiogope soli ya kiatu kuisha katika kusaka kazi ukipata pa kujishikiza utanunua kipya ila kama fighter probability of succes ni kubwa kwako,as u knw mkataba wenu na HESLB(bodi ya mikopo)ume-expire tayari