Pitch ya Mkwakwani ni mbaya kabisa boli halitembei na hasa mvua ikinyesha mipira inakwama ovyo , hivi mbona tff hawana akili? What is wrong with tff?
fainali CRDB ni mechi kubwa mno wana uto tunaomba mechi ichezwe mkapa tu au hata Kmc au Majaliwa au hata Kagera kwenye nyasi bandia, uto tunataka pitch Bora fainali ipendeze , pitch lazima iwe nzuri tuwaoneshe mpira makolo boli litembee Pacome azungushe boli kwa asilimia 100, CRDB wasikubali pitch mbovu fainali hela zao ni nyingi wametoa kuwapa wahuni wa tff