Wakubwa Heshima yenu
katika pitapita zangu huko Twitter nimekutana na hizi picha mbili
Yakwanza ni original photo ambayo imechukuliwa kwa sim na ya pili ni baada ya kuwekewa filter
kiukweli nimeipenda aina hii ya filter
naomba kwa anaefaham App ambayo inaweza kufanya filter kama hii picha anisaidie