Filikunjombe aomba kugombea tena Ludewa leo

Filikunjombe aomba kugombea tena Ludewa leo

Status
Not open for further replies.

mhugo hantish

Senior Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
137
Reaction score
36
Akihutubia wananchi wa Jimbo la Ludewa kata ya Ludewa mh. Deo Filikunjombe ametangaza rasmi kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya ubunge kwa awamu ya pili.

Katika hali isiyo ya kawaida wakati shamrashamra za wana CCM wakionyesha kumpokea mh. Deo zikiendelea chama cha ACT-Wazalendo kimeonyesha kupaza sauti za nyimbo zao mbele ya wana CCM huku wakiwa ndani ya gari lao.

TUTAENDELEA kukujuza itakachoendelea katika uwanja wa mpira Ludewa mjini.
 
Wapangwa....wamepangwa......hatari sana.
 
ACT juzi juzi si walilaani kitendo cha CHADEMA kufanya mkutano was hadhara kalibu na walikokuwa wakifanya mkutano wao? Sasa iweje wao wavamie mkutano wa Filikunjombe? ( kama ni kweli ). Lakini hata hivyo siasa za kichonganishi na uhuni ni kwamba baadhi ya vyama havina sera za kunadi ndo maana wanaishia kucheza draft barabarani.
 
upendo unalazimishwa nasikia eti ameita bodaboda toka sehemu mbalimbali na pia wakuu wa mashule.
 
Umechelewa sana
Kamwene, Mnogage,
Najua wengi huwa hatupendi kusikia ukweli,
Lakini huo ndo ukweli wenyewe, nichukia sana SISIEM na natamani itoke madarakani hata leo
Lakini naona kuna ka uroho ka madaraka huko upinzani
SINA IMANI NA UKAWA
 
Huyo mpangwa wa Kijichi alishawahi kuihujumu kampuni moja ya bima,hatari sana huyo
 
hilo ni jembe. tunalihitaji bunge lijalo tena. wana ludewa msituangushe.
 
update=16:42, best fm live on line: Akihutubia wananchi wa jimbo la ludewa kata ya ludewa mh. deo filikunjombe ametangaza rasmi kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya ubunge kwa awamu ya pili. Katika hali isiyo ya kawaida wakati shamrashamra za wanaCCM wakionyesha kumpokea mh. Deo zikiendelea chama cha ACT-Wazalendo kimeonyesha kupaza sauti za nyimbo zao mbele ya wanaCCM huku wakiwa ndani ya gari lao. TUTAENDELEA kukujuza itakachoendelea ktk uwanja wa mpira ludewa mjini.

nimeishiwa pumzi kwa sasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom