filamu za bongo na kwaya

luha

Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
20
Reaction score
1
naomba kujua bei ya filamu kwenye maduka ya jumla
 
Ushauri wa bure kama unahitaji kwa ajili ya kufanya biashara kwenye kununua akikisha hizo cd/kanda zina stempu ya TRA..
 
Ps.kama ni filamu za bongo unazo tafuta akikisha zina hizo stempu
 
Nmekupata mkuu ila nahtaj kujua bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…