Filamu ya"The 33"

Filamu ya"The 33"

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
6,289
Reaction score
10,979
Nimeona vipande vya hii filamu ya wale wafanyakazi wa mgodini 33 waliofukiwa kipindi kile.

Kifupi hii filamu inaonekana kali sana ila vipande viko you tube na hawajaweka full movie hivyo kwa yeyote mwenye link au uwezekano wa kunisaidia kuipata / kuidownload filamu hii ya "the 33" ntashukuru sana.

Asanteni.
 
Ingia kickass au extratorrent utaweza kudownload ila na utorrent
 
Thanx wadau nilifanikiwa kudownload hiyo movie kwa bit torrent japo ilichukua masaa kadhaa na hii internet yetu mitandao ya kiswahili!
Ila nime enjoy ni bonge la filamu unaweza toa machozi kabisa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom