Filamu ya Kijiji cha Tambua Haki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Filamu ya Kijiji cha Tambua Haki.

Discussion in 'Entertainment' started by KIBURUDISHO, Jul 10, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Wakuu habari za mida hii natumai mko poa.Mimi huwa si mpenzi wa kuangalia filamu hasa za kibongo. Ila filamu hii aliyoicheza marehemu Stephen Kanumba enzi za uhai wake nimeipenda sana tena sana na nilitamani lait kama ningelikuwa na uwezo wa kununua nakala nyingi za filamu hiyo na kuzigawa kwa kila mtu aishie kijijini ningelifanya hivyo ili kuwaamusha kutoka katika uzingizi wa uonevu wanaofanyiwa.Na mwisho ni jinsi gani wanavyofanya na kuondokana na udhalimu huo.Nawasihi kama wewe sio mpenzi wa kuangalia filamu hebu itafute filamu hiyo uitazame kisha mtumie nduguyo anayeishi kijijini mwenye kauwezo kakumiliki tv na yeye aitazame pamoja na wanakijiji wenzake ili walitambue hili.Nawasilisha pia nawatakia utazamaji mwema.
   
 2. J

  Jalem JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  iweke kwenye you tube ili walionje waione kirasi pia
   
 3. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  ni wewe uliyenunua haki miliki ya filamu hiyo? kazana kupiga debe pesa yako itarudi.
   
 4. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Hapana simaanishi hivyo ila namaanisha kile kilichomo kiwafikie wanyonge wanaoumia.
   
Loading...