Me lile li Koshmar sikudhan kama angelidunguaYuri boyka. Jamaa analetewa kila aina ya visiki anawazaba
Aaah kule mwish uongo mwing... Jamaa kapigwa risas ya mbavu lkn bado Ana nguvu ya kwenda kumkaba mtu mpk anamuua... Bado tena risas ya mbavu katiwa pingu hlf anatembea fresh tu.. Huo si uongo huoKwanini Mkuu?