Filamu: Undisputed 4

Filamu: Undisputed 4

fakalava

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
4,459
Reaction score
6,030
Kwa wale wapenzi wa movies za kibabe nadhani mnajua mfululizo wa Undisputed kuanzia 1 mpaka 3 lakini mwaka jana ilitoka sehemu ya 4. Katika hii filamu mtaalamu wetu Scott Adkin ameendelea kufanya vizuri kama alivyofanya kwenye sehemu ya 2 na 3 akiwa na mtaalamu Michael Jai White.

Kwa wapenzi wa martial art na nakozi za ukweli ipakue hapa chini kwa torrent.

http://www.yify-torrent.xyz/attachm...2016) 720p WEBRiP [YIFY-TORRENT.[XYZ].torrent
 
japo mapigo ni yale yale ila utamu wa muvi hii upo kwenye kisa kilichomfanya boyka kujikuta yupo urusi.

na ile lafudhi ya warusi sasa...!!!!
 
Kule kwenye ile movie ma don wana bet hataree asee ile huku magerezani kwetu hmna kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom