Niiipata Netnaija.comNitaipata wapi mkuu, sait gani nzuri kwa ajiri ya kudownload movie
HD version tayari ipo yts.agNitaipata wapi mkuu, sait gani nzuri kwa ajiri ya kudownload movie
ni hatari aseeTarehe 12 mwezi huu filamu mpya inayokwenda Kwa jina la RED NOTICE imeachiwa ikiwa imetengenezwa na NETFLIX.
Filamu hii Una wataalam watatu wakali Dwayne Johnson, Ryan Reynolds na mwanadada Gal Gadot.
The Story: inaanza na masimulizi ya Zama kuhusu artifacts zilizopotea miaka Mingi na hapa zinaongelewa artifacts zenye muundo WA mayai ya dhahabu ambazo zilikuwa zinamilikiwa na Cleopatra (Ndio ni Yule Yule WA Misri) sasa wakati WA sakata la kifo cha Cleopatra yalipatikana mayai 2 na moja lilifichwa.
Sasa kwenye filamu hii kuna watu wanapewa kandarasi ya kutafuta hayo mayai yote matatu. Sasa kandarasi hii wanapewa wezi wakubwa WA artifacts Duniani ambao wanashindana Nani atayaoata kabla ya mwenzake huku wakiwa hatua moja Tu mbele ya polisi WA Interpol ambao wanawawinda Kwa udi na uvumba.
Humu Ndani kuna comedy, action, adventure na mystery kidogo. Kwa wale waliomzoea Gal Gadot na character yake ya Wonder Woman wanaweza wasimpende Sana humu. Ryan ameshazoeleka na Comedy zake pamoja na Dwayne ambaye naye siku za karibuni ameacha kuwa serious kwenye character yake.
Itafute na huenda ukaifurahia. Rating yangu ni 7/10
View attachment 2012581
Sio wewe tu.. naona hawapo serious sana utafikiri komedi.Nisiwe mnafiki,, sijaipenda kabisa
Mi naona Dawyne alivoanza kuwa comic ndio anakuwa mtamu.Tarehe 12 mwezi huu filamu mpya inayokwenda Kwa jina la RED NOTICE imeachiwa ikiwa imetengenezwa na NETFLIX.
Filamu hii Una wataalam watatu wakali Dwayne Johnson, Ryan Reynolds na mwanadada Gal Gadot.
The Story: inaanza na masimulizi ya Zama kuhusu artifacts zilizopotea miaka Mingi na hapa zinaongelewa artifacts zenye muundo WA mayai ya dhahabu ambazo zilikuwa zinamilikiwa na Cleopatra (Ndio ni Yule Yule WA Misri) sasa wakati WA sakata la kifo cha Cleopatra yalipatikana mayai 2 na moja lilifichwa.
Sasa kwenye filamu hii kuna watu wanapewa kandarasi ya kutafuta hayo mayai yote matatu. Sasa kandarasi hii wanapewa wezi wakubwa WA artifacts Duniani ambao wanashindana Nani atayaoata kabla ya mwenzake huku wakiwa hatua moja Tu mbele ya polisi WA Interpol ambao wanawawinda Kwa udi na uvumba.
Humu Ndani kuna comedy, action, adventure na mystery kidogo. Kwa wale waliomzoea Gal Gadot na character yake ya Wonder Woman wanaweza wasimpende Sana humu. Ryan ameshazoeleka na Comedy zake pamoja na Dwayne ambaye naye siku za karibuni ameacha kuwa serious kwenye character yake.
Itafute na huenda ukaifurahia. Rating yangu ni 7/10
View attachment 2012581
Hiv NETFLIX wanaproduce kumbe!Tarehe 12 mwezi huu filamu mpya inayokwenda Kwa jina la RED NOTICE imeachiwa ikiwa imetengenezwa na NETFLIX.
Filamu hii Una wataalam watatu wakali Dwayne Johnson, Ryan Reynolds na mwanadada Gal Gadot.
The Story: inaanza na masimulizi ya Zama kuhusu artifacts zilizopotea miaka Mingi na hapa zinaongelewa artifacts zenye muundo WA mayai ya dhahabu ambazo zilikuwa zinamilikiwa na Cleopatra (Ndio ni Yule Yule WA Misri) sasa wakati WA sakata la kifo cha Cleopatra yalipatikana mayai 2 na moja lilifichwa.
Sasa kwenye filamu hii kuna watu wanapewa kandarasi ya kutafuta hayo mayai yote matatu. Sasa kandarasi hii wanapewa wezi wakubwa WA artifacts Duniani ambao wanashindana Nani atayaoata kabla ya mwenzake huku wakiwa hatua moja Tu mbele ya polisi WA Interpol ambao wanawawinda Kwa udi na uvumba.
Humu Ndani kuna comedy, action, adventure na mystery kidogo. Kwa wale waliomzoea Gal Gadot na character yake ya Wonder Woman wanaweza wasimpende Sana humu. Ryan ameshazoeleka na Comedy zake pamoja na Dwayne ambaye naye siku za karibuni ameacha kuwa serious kwenye character yake.
Itafute na huenda ukaifurahia. Rating yangu ni 7/10
View attachment 2012581
Tarehe 12 mwezi huu filamu mpya inayokwenda Kwa jina la RED NOTICE imeachiwa ikiwa imetengenezwa na NETFLIX.
Filamu hii Una wataalam watatu wakali Dwayne Johnson, Ryan Reynolds na mwanadada Gal Gadot.
The Story: inaanza na masimulizi ya Zama kuhusu artifacts zilizopotea miaka Mingi na hapa zinaongelewa artifacts zenye muundo WA mayai ya dhahabu ambazo zilikuwa zinamilikiwa na Cleopatra (Ndio ni Yule Yule WA Misri) sasa wakati WA sakata la kifo cha Cleopatra yalipatikana mayai 2 na moja lilifichwa.
Sasa kwenye filamu hii kuna watu wanapewa kandarasi ya kutafuta hayo mayai yote matatu. Sasa kandarasi hii wanapewa wezi wakubwa WA artifacts Duniani ambao wanashindana Nani atayaoata kabla ya mwenzake huku wakiwa hatua moja Tu mbele ya polisi WA Interpol ambao wanawawinda Kwa udi na uvumba.
Humu Ndani kuna comedy, action, adventure na mystery kidogo. Kwa wale waliomzoea Gal Gadot na character yake ya Wonder Woman wanaweza wasimpende Sana humu. Ryan ameshazoeleka na Comedy zake pamoja na Dwayne ambaye naye siku za karibuni ameacha kuwa serious kwenye character yake.
Itafute na huenda ukaifurahia. Rating yangu ni 7/10
View attachment 2012581
Ndio wameproduce nying tu nyingn Extraction kama hujaicheki itafuta alafu utajua sasahiv jamaa wapo serious sanaHiv NETFLIX wanaproduce kumbe!