Filamu: Lone Survivor

Yaaap....ila nimecheka pale kwenye Lugha gongana Jamaa anataka Kisu dogo analeta BATA....akiambiwa Baba nae analeta KISU akidhani anataka kwajili yakumchinja yule Bata
Dogo anaonekana kuwa na roho ya huruma, ila haya matukio huwa yanawaharibu sana watoto hasa Kisaikolojia.
 
Kwenye hii Movie Lt Michael Murphy alijitoa sana kwa ajili ya wenzake na Taifa!
Alikuwa kiongozi wa troop pia aliamua kujitoa muhanga kwenda kutafuta mawasiliano ya satelite na base yao!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…