Filamu hii na dunia tuliyomo

SteveMollel mtunzi wa The platform aliwaza nini? Aisee ni bonge moja la movie,Goreng na Baharat, wamejitahidi kuweka usawa lakini wapi..hii movie ni ambiguous Sana...nadhani mtunzi kuna kitu alitaka tukitafute wenyewe hasa jinsi alivyoimaliza hii movie..ni utata hasa!

Hata hivyo najiuliza kama Goreng aligundua levels ziko 333 na kila level ina wafungwa wawili it means wako 666 hii namba kiimani (Christians) ikoje? Kuna jambo hapa..japo nahisi mtunzi alimvika Goreng cheo cha Jesus may be aliyejitoa kwa ajili ya wengine..bado nimebaki na maswali mengi kuliko majibu..i recommend kila mtu aitizame hii movie itabadili mtizamo hasa kwenye maisha tunayoishi.
 
Sana mkuu. Hii filamu imekaa kifalsafa sana. Ina ujumbe mkubwa mno chini yake. Ni filamu ya kufikirisha iliyotumia akili kubwa sana. Na ukitulia kuitazama unaiona jamii katika kila pembe kama vile kiimani, kisayansi na kiitikadi.

Hii filamu. Imesummarise jamii yetu nzima. Ni swala la kutulia na kutazama hata zaidi ya mara mbili upate kung'amua mambo. Ndo maana bwana Director alisema, hii movie iko open for interpretation.

Ahsante sana mkuu kwa kuleta mwono wako hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule mama ndo alisema kuwa chakula kinawatosha wote mule ndani kama wakiwa na utaratibu na yeye alikuwa akiyajua yote hayo baada ya kuwafanyia kazi utawala.

Lakini Mwisho wa siku bado usawa nao unakuwa mgumu haswa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushukuru sana,nimedownload movie Kama mbili na hii IPO,kinacho nishindwa kuweka subtitle,kila nikiweka kabla ya kudownload nikija kuangalia baadae hakuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…