Filamu ya kibuyu haikuwa ya kibiashara na haikuwahi kuuzwa sehemu
yoyote, ilitengenezwa kama mradi maalum wa NSSF, hivyo sidhani kama
unaweza kuipata kirahisi. Labda uende TBC1 ambao ndiyo waliokuwa
wakiirusha...
Filamu hii ilitengenezwa ikiwashirikisha vijana waliokuwa wanasoma
chuo cha Bagamoyo na kuongozwa na Hammie Rajab. Inawezekana
hujawahi kuisikia kwa kuwa haikuwa ya kibiashara bali ya mradi, mara
nyingi filamu za miradi huishia kwenye makabati...