Nina wazo la kufungua kampuni ambayo itakuwa inajihusisha na printing,
Kwa sasa nafanya huduma ya printing napatikana dar es salaam.kwa kwa kuprint vikombe, chupa t-shirt mifuko ya kufungua bidhaa n. k
natamani nipate sapoti yenu nyinyi ili muniwezeshe kijana wenu kufanikiwa kufungua kampuni jambo ambalo litawapa ajira watu wengi.