Itategemea na kiasi cha maji yanayoingia na kutoka. Kama maji yanayoingia ni mengi kuliko yanayotoka basi itaanza kujaa namba Moja. Lakini kama maji yanayoingia ni sawa na yanayotoka basi litaanza kujaa namba nne!
Yote hayo itagemea endapo hizo container zimefungwa. Kama hazijafungwa basi namba nne ikijaa maji yataanza kumwagika na mengine yote hayatajaa.

namba 3 itajaa kwanza. ukichunguza hiyo pipe inayopeleka maji namba 4 utagundua kwamba levo ya maji kwenye namba 3 itakua sawa na level ya maji kwenye pipe. kwaio ili namba nne ipate maji sharti namba 3 iwe na maji level ya mwisho ya pipe imwagayo maji kwenye namba 4.