bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,678
Kuna fikra zimejengeka miongoni mwetu kwamba Masomo ya Sayansi ni Magumu ni ya kweli?
Unakuta mwanafunzi kuanzia darasa la kwanza anajua kuwa Hesabu ni Ngumu hivyo anakua anasoma basi na yote inatokana na Maneno aliyowahi kuyasikia kutoka kwa watu wanaomzunguka, Mwanafunzi anaenda kidato kwa kwanza tayari keshaweka kwenda ubongo wake kuwa Masomo ya Sayansi ni Magumu sana na anaanza kukwepa Vipindi vya Masomo ya Sayansi kuanzia akiwa kidato cha kwanza,
Nakumbuka Advance level kuna wanafunzi walikuja shule kusoma masomo ya Sayansi ila maneno tuliyokutana nayo kutoka kwa wanafunzi wa mbele yetu yalikuwa ni ya kukatisha tamaa hapo hata vipindi havijaanza matokeo yake baadhi ya wanafunzi walihamia mchepuo wa Sanaa na hata waliobaki walikuwa wanasoma kwa Hofu kubwa sana tayari walishajenga woga,
Ukijaribu kuangalia pia masomo ya sanaa yana ugumu wake Njoo vitu kama Ngeli,Uambishaji,uchambuzi wa vitabu, Tenses, Mofimu, Kirai, kishazi, Syntax, ...nk
Kwa uhalisia je ni kweli Masomo ya Sayansi ni Magumu au ni Fikra ambazo wamejijengea,Na pia kukosekana Sera madhubuti kuhusu Sayansi Anzia Vitendea kazi mpaka Walimu?