Fikra duni za wanaCHADEMA

Fikra duni za wanaCHADEMA

hameez

Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
39
Reaction score
25
Kwa mtazamo wa nje unaweza kusema ni watu walio wa kweli,open minded na wenye muamko.ki uhalisia wanachadema wamekua washabiki sana na wapenzi kupitiliza wa siasa za chama chao mpaka wanashindwa kuuona ukweli.
1. Siku zote wanaamini chama chao ni safi sana hakina kasoro.

2.kila linalosemwa na chama chao wanaamini ni kweli.hawana muda wa kufatilia na kuchanganua huo ukweli wanaoambiwa.

3.wamempa Tindu Lissu haki ya kufikiria kwa niaba yao.chochote asemacho Lissu wanachadema wanachukua kama kilivo hawana muda wa kuhoji waka kutafakari.

4.mtu yoyote ambao unapinga na kuhoji sera na mwenendo wao basi wanakuona ni msaliti na utaitwa majina yote na kashfa kibao.

5. Ni wanasiasa wazuri majukwaani na kwenye mitandao ya jamii ila kwenye utendaji ni kama makobe vile.

6.kwao siasa ni vita,uadui na chuki ndo maana wakimuona mchungaji mwesigwa ka post picha fb yupo na lowasa hyo n nongwa,ZZK kua karibu na JK au mkono kwao ni usaliti.wanahubiri amani uku wakiratibu siasa za chuki na uadui.

To b honest nahitaji mabadiliko katika uongozi wa nchi hii,tunahitaji serikali mpya ila sioni tofauti kati ya CCM na CHADEMA wote ni wanafiki na wachumia tumbo.

Vua fikra yako uliyoivisha gwanda,vaa fikra huru,fanya maamuzi sahihi kwa mustakabalibwa tanzania ya leo na kizazi kijacho.

Wanachadema you are a prisoners of your own prison,being held in prison of your own creation.
 
Huo ni mtizamo wako regardless umesukumwa na nini kuwa na mtizamo huo..
 
1. Weka tamko la chadema linalosema Msigwa kwa kupiga picha na Lowasa ni msaliti.

2. Leta hapa ushahidi kuthibitisha madai yako kwamba chadema hakina uhuru wa kutoa mawazo na mtu akiwa na ideas tofauti na wao anaambiwa msaliti. (Usisahau kubainisha hao wao ni akina nani zaidi ya CHADEMA?).

3. Kwa nini unataka CHADEMA kikose maelewano kwa kutokuaminiana pasipo sababu? Kwa nini ulazimisha wana CHADEMA wakione chama chao ni kichafu na kina kasoro ambazo hata wewe huzijui? Acha na roho za wivu ndugu. IKiwa chama chako kina uchafu na kasoro uliosembukia hadi kwa majirani, usilazimishe vyama vyote viwe hivyo. Huko ni kushindwa.

4. Ni kitu gani alichokiwaza, na kukisema kwa ajili ya CHADEMA ambacho wewe ungelikuwa mwanachadema ungesema hakifai? Kwa nini ulazimishe watu waone makosa kwa TUndu Lissu ambayo hata wewe huyaoni? Unawezaje kuthibitisha kwamba Tundu Lisu akisema kitu wana CHADEMA wengine hawakitafakari? Kutafakari kwa mtazamo wako ni sawa na kukinzana au kupingana?

Huna sababu ya ku chemka kwa ajili ya mafanikio ya CHADEMA. Huu ni wivu wa Kaini kwa ndugu yake Habili. Ukifanya mema utakosa kibali?

If you cant fight them, join them!.
 
Wanachama wa CHADEMA wengi ni bendera fuata upepo, wanaamini na kufuata kila wanaloambiwa na mwenyekiti wao bila hata kuhoji. Nadhani huu ni utumwa wa fikra!

Leo kuna mwanachama mmoja ameanzisha thread kumfagilia Dr. Slaa. Najiuliza huyu Slaa ambae ndoa na familia yake ameshindwa kuitunza na sasa anaishi na mchumba sijui mke? Slaa ambae ameshindwa hata kujenga makao makuu ya chama, amezidiwa hata na CUF wanaopata ruzuku kidogo?

Chama kinasema kinafuata sana kanuni na taratibu za chama, mbona ripoti ya CAG imewapa hati yenye mashaka kwa kununua magari bila idhini ya bodi? Kuna ushahidi gani kuwa hapo taratibu za manunuzi hakikukiukwa na zile tetesi kuwa Mbowe alikiuzia chama magari yaliyotumika huenda ni za ukweli?

Lissu naye anasema hakumpa Zitto mkono wakati wa kuagana bungeni kwa sababu yeye siyo mnafiki lakini amesahau ndani ya UKAWA kuna CUF ambayo CHADEMA akiwemo Lissu walisema ni CCM B na wanashabikia sera ya ushoga. Nakumbuka nusura ngumi zipigwe bungeni kati ya CDM na CUF! Inamaana hapeani mikono na viongozi wa CUF?

Lissu huyu huyu alimtolea maneno machafu Mwl. Nyerere alafu baadae viongozi wa CHADEMA wakaenda kuzuru kaburi la Mwalimu Nyerere, huo si unafiki? Kama wanamuheshimu walimtolea maneno machafu ya nini? Je, kwenye kaburi lake walienda kutubu au unafiki tu wakati bungeni wanamponda!
 
Umetokwa na povu jingi bila kuwa na hoja. Bila kuisema CHADEMA huwezi lala.

MaCCM bana akili kama za masaburi
 
Mleta ni mwehu na kada wa chama cha mafisi.
 
Umetokwa na povu jingi bila kuwa na hoja. Bila kuisema CDM huwezi lala.

MaCCM bana akili kama za masaburi

Hujaona hoja hapo, suala la CHADEMA kusema wanazingatia kanuni na taratibu za chama waakati wanapata hati yenye mashaka kwako siyo hoja? Hii inathibitisha hoja yangu kuwa wengi wa wafuasi wa CDM uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo! wewe ni mmoja wao!
 
Umetumwa eeh yenu yanawashinda ya kuzuia mafuriko kwa mikon unatafuta mengine
 
Hoja zako capito ni za kitoto.dr slaa ana sifa za kuwa rais. Swala la familia yake linatuhusu nn? Ccm mnawaza ngono tu.
 
Eti cdm hati chafu! We bado uko gizani.vpi dhuluma,ufisadi na wizi wa ccm? Ni bora kuliko hati chafu kwa cdm.juha ww..
 
hameez dumisheni chama chenu, huu sio muda wa kuangalia Chadema wanafanya nini au nini hawafanyi ili nanyi mtoke. Uchaguzi unakaribia malumbano kuhusu Chadema hayasaidii unaweza kuta unampiga chura teke kumbe unamuongezea mwendo bila kujijua.
 
Last edited by a moderator:
Badala ya ccm kueleza watz kwann wanaendelea kuwa masikini ili hali nchi yao tajiri,wanajadili chadema.mwisho umefika.
 
Majibu yenu tu CDM yana justify thread yangu.fikra zenu zimebakwa na unazi na ushabiki wa chama.hampo huru.sio kila anaeikosoa CDM ni CCM.

Tunahitaji upinzani wenye nguvu wa kuitoa CCM madarakani ial sio hii cheap politics ya chama chenu.
 
Unamwambia mtu hii si njia sahiii, lalkini haumuoneshi njia... kwa vyovyote wewe ni ACT, na kama ni hivyo kama unakionea chama chako aibu kukipigia debe mpaka upitie mlango wa nyumba basi hili ni tatizo kubwa zaidi.

Mwaka huu CDM itawafanya vibaya sana nyie ACT vibaraka wa Chama cha mafisi, na majizi ya Escrow!
 
Hujaona hoja hapo, suala la CHADEMA kusema wanazingatia kanuni na taratibu za chama waakati wanapata hati yenye mashaka kwako siyo hoja? Hii inathibitisha hoja yangu kuwa wengi wa wafuasi wa CDM uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo! wewe ni mmoja wao!

Mtaongea sana ila mwaka huu mtusamehe rais atatoka UKAWA.
 
Kwa mtazamo wa nje unaweza kusema ni watu walio wa kweli,open minded na wenye muamko.ki uhalisia wanachadema wamekua washabiki sana na wapenzi kupitiliza wa siasa za chama chao mpaka wanashindwa kuuona ukweli.
1. Siku zote wanaamini chama chao ni safi sana hakina kasoro.

2.kila linalosemwa na chama chao wanaamini ni kweli.hawana muda wa kufatilia na kuchanganua huo ukweli wanaoambiwa.

3.wamempa Tindu Lissu haki ya kufikiria kwa niaba yao.chochote asemacho Lissu wanachadema wanachukua kama kilivo hawana muda wa kuhoji waka kutafakari.

4.mtu yoyote ambao unapinga na kuhoji sera na mwenendo wao basi wanakuona ni msaliti na utaitwa majina yote na kashfa kibao.

5. Ni wanasiasa wazuri majukwaani na kwenye mitandao ya jamii ila kwenye utendaji ni kama makobe vile.

6.kwao siasa ni vita,uadui na chuki ndo maana wakimuona mchungaji mwesigwa ka post picha fb yupo na lowasa hyo n nongwa,ZZK kua karibu na JK au mkono kwao ni usaliti.wanahubiri amani uku wakiratibu siasa za chuki na uadui.

To b honest nahitaji mabadiliko katika uongozi wa nchi hii,tunahitaji serikali mpya ila sioni tofauti kati ya CCM na CHADEMA wote ni wanafiki na wachumia tumbo.

Vua fikra yako uliyoivisha gwanda,vaa fikra huru,fanya maamuzi sahihi kwa mustakabalibwa tanzania ya leo na kizazi kijacho.

Wanachadema you are a prisoners of your own prison,being held in prison of your own creation.

KWELI AISEE, Ndo maana tumeamua kuunda chama cha upinzani cha CHADEMA, maana tumepambana sana kwa ndani imeshindikana bana....,

KOPO LA CHOONI NI LA CHOONI TU HATA UKILIOSAFISHA VIPI HALIWEKWI KABATINI KAMWEEE..., hayo mawazo mazuri yapeleke ACT tena uendenayo kabsaaaaaaaaa....,

Hizi ni dalili za siku za mwisho za CCM
 
Back
Top Bottom