Fikiria kabla ujatenda

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Kwa nini unataka kuoa/kuolewa?? Ni kwa sababu rafiki zako wameoa,wameolewa na wewe unajifikiria kukosa amani na kupoteza kujiamini?

Au unapata pressure kutoka kwa wazazi wako au unaitaji kuitwa Mr au Mrs ili kupata kuheshimia na kuongeza umuhimu wako?

Unafikiri yeye ni tajiri na utaki kumuacha au unafikiria yeye ni mzuri sana kwa wewe kumuacha aende?

Umeamua kuolewa na tajiri au kuoa mtu mzuri? Utajiri na uzuri una mwisho wake lakini penzi la kweli aliishi.

Vyovyote katika sababu zako, kumbuka ndoa ni taasisi ambayo upati shahada katika chuo chochote, mara nyinyi uwezi kufahamu rangi nzuri ya mpenzi wako mpaka utakapo oa.

CHAGUWA KWA UANGALIFU
 
Ndoa si rahisi...ipo so complicated na usipopata mtu sahihi ndo utaiona joto ya jiwe!!Ukiolewa na mtu unaempenda na dhumuni la ndoa iwe mapenzi ya dhati basi mapenzi hayo yatahimili mikiki na majaribu mengi mapenzi yamewaunganisha na si vingenevyo!
 
Ndoa zilikuwa zamani siku hizi watu wanaoa/kuolewa ili kutoa mkosi ndiyo maana ndoa nyingi hazidumu.
 
Ndoa si rahisi...ipo so complicated na usipopata mtu sahihi ndo utaiona joto ya jiwe!!Ukiolewa na mtu unaempenda na dhumuni la ndoa iwe mapenzi ya dhati basi mapenzi hayo yatahimili mikiki na majaribu mengi mapenzi yamewaunganisha na si vingenevyo!

...teeeeh..
ndoa yetu haitakuwa na migogoro coz you & i are compatible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…