DEVINE JF-Expert Member Mar 11, 2011 536 86 Feb 21, 2012 #61 We kweli ujui eti unaponda figa yako! Wengine wanaitamani wawe nayo hyo
mgeni10 JF-Expert Member Nov 29, 2010 1,109 369 Feb 22, 2012 #62 figuer yako haina uhusiano na watu kutaka mzigo na kulala mbele au kutaka mzigo baada ya muda mfupi wa kufahamiana Hebu chunguza vizuri ili upate jibu sahihi la tatizo / hali uliyonayo
figuer yako haina uhusiano na watu kutaka mzigo na kulala mbele au kutaka mzigo baada ya muda mfupi wa kufahamiana Hebu chunguza vizuri ili upate jibu sahihi la tatizo / hali uliyonayo
Maganga Mkweli JF-Expert Member Jul 14, 2009 2,089 829 Feb 22, 2012 #63 maisha haya mie yangu macho.........dilemma niliachwa njia panda hapa
Loreen Senior Member Dec 24, 2011 110 32 Feb 22, 2012 Thread starter #64 Asanteni kwa ushauri ,ninaamini akipitia comment zote hizo atajua cha kufanya!
Qulfayaqul JF-Expert Member Apr 10, 2008 480 84 Feb 22, 2012 #66 Acha hizo mtoto toa mzigo huo, na angalia hata waume za watu huwa wanaoa sio hatari sana wengine wamepigwa na wake zao wanataka wake wengine
Acha hizo mtoto toa mzigo huo, na angalia hata waume za watu huwa wanaoa sio hatari sana wengine wamepigwa na wake zao wanataka wake wengine
Gagurito JF-Expert Member Feb 11, 2011 5,600 804 Feb 22, 2012 #67 mgeni10 said: figuer yako haina uhusiano na watu kutaka mzigo na kulala mbele au kutaka mzigo baada ya muda mfupi wa kufahamiana Hebu chunguza vizuri ili upate jibu sahihi la tatizo / hali uliyonayo Click to expand... Huhuhuhuhuhu!
mgeni10 said: figuer yako haina uhusiano na watu kutaka mzigo na kulala mbele au kutaka mzigo baada ya muda mfupi wa kufahamiana Hebu chunguza vizuri ili upate jibu sahihi la tatizo / hali uliyonayo Click to expand... Huhuhuhuhuhu!