Tony Yeyo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 733 Reaction score 570 Aug 8, 2019 #1 Wabar zenu Madaktari naomba mnisaidie, nimeenda kupima nimeambiwa kuna kama ka uvimbe kweny Figo ya kulia, nimesoma kweny mtandao naona kanaitwa kidney cyst... Kesho ndo nina kwenda kumuona Dokta Leo nimefanya vipomo tu Napata maumivu nyuma ya mgongo upande wa kulia..ila sio maumivu makal yana kuja na kuondoka Nimeambatanisha picha apo chini naomba ushauri wenu Nimekuwa na wasiwasi, naogopa sina raha naomba mnisaidie kunipa ushauri wa kitalamu
Wabar zenu Madaktari naomba mnisaidie, nimeenda kupima nimeambiwa kuna kama ka uvimbe kweny Figo ya kulia, nimesoma kweny mtandao naona kanaitwa kidney cyst... Kesho ndo nina kwenda kumuona Dokta Leo nimefanya vipomo tu Napata maumivu nyuma ya mgongo upande wa kulia..ila sio maumivu makal yana kuja na kuondoka Nimeambatanisha picha apo chini naomba ushauri wenu Nimekuwa na wasiwasi, naogopa sina raha naomba mnisaidie kunipa ushauri wa kitalamu
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,046 Reaction score 13,392 Aug 8, 2019 #2 Kidney cyst ni kama kauvimbe kenye minyoo flan ivi,unaweza pewa dawa labda opereshen sidhani maana si mawe hayo
Kidney cyst ni kama kauvimbe kenye minyoo flan ivi,unaweza pewa dawa labda opereshen sidhani maana si mawe hayo
Tony Yeyo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 733 Reaction score 570 Aug 8, 2019 Thread starter #3 Asante sana godimpare said: Kidney cyst ni kama kauvimbe kenye minyoo flan ivi,unaweza pewa dawa labda opereshen sidhani maana si mawe hayo Click to expand...
Asante sana godimpare said: Kidney cyst ni kama kauvimbe kenye minyoo flan ivi,unaweza pewa dawa labda opereshen sidhani maana si mawe hayo Click to expand...
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Aug 8, 2019 #4 ILA KWA MSAADA ZAIDI, NENDA KAONANE NA HUYO DOCTA, ATAKUSAIDIA POLE MKUU
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,688 Reaction score 197,350 Aug 8, 2019 #5 Pole sana... Sky Eclat pitia hapa kwa ushauri... Cc: mahondaw
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,380 Reaction score 99,177 Aug 8, 2019 #6 Pole Sana Tony Yayo.
Monseur JF-Expert Member Joined Dec 5, 2016 Posts 655 Reaction score 526 Aug 8, 2019 #7 Kunywa sana maji kati ya lita nne na nusu hadi sita kwa siku, na ujipe muda wa kupumzika, tatizo litakwisha kabisa.
Kunywa sana maji kati ya lita nne na nusu hadi sita kwa siku, na ujipe muda wa kupumzika, tatizo litakwisha kabisa.
M Mtimkavuorg JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 653 Reaction score 530 Aug 8, 2019 #8 Pole sana utapona madktari watakutibu maana ndy kalama yao toka kwa Mungu mwenyezi