Figo Kufeli (Renal Failure)

Emma Jacob jr

Member
Feb 4, 2014
9
0
Wapendwa wana jf ningependa kuwashirisha mambo machache kuhusu afya zetu hasa kwa wele wenye kisukari, presha, pia kama una historia ya kupata maambukizi katika njia ya mkojo(Urinary truck infection. Ni muhimu sana ukazingatia matibabu ya unayopata na matumizi ya dawa ulizoandikiwa na dactari kama ulifishafika hospitali hasa kwa magonjwa ya presha na kisukari kwani ukipuuza ku-control haya magonjwa madhara yake ni makubwa sana mpendwa kwani huweza kusababisha FIGO zako zikafeli na ukaishia kufanya hemodialysis(kuchuja damu) huku ukisubiri kuwekewa figo nyingine (transplant) ambapo ni ghali sana na haifanyiki hapa kwetu Tanzania hivyo basi usiye na utamaduni wa kupima afya ni vizuri ukapima kujua kama una presha au kisukari ili uanza matibabu mapema. Vilevile kwa swala la ulaji wa madawa na vyakula, ni muhimu kuwa na nidhamu katika ulaji kula vyakula salama ambavyo havitaadhiri afya nikimaanisha epuka vyakula vyenye kemikali za viwandani .Pia unapoumwa ni vema ukatumia dawa ulizoandikiwa na dr
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom