Figo inahitajika

mzee wa miaka 60 anaomba figo kwa kijana wa miaka 20-35. kweli binadamu sisi niwabinafsi.
 
Kumlipa mtu ili akupe kiungo cha mwili ni kosa kisheria.

Hushangai P Square mama yao alikufa lakini kiungo wangeweza kununua?

Hilo tangazo ni feki usijichomeke.


Usibabaike na kiswahili, huenda wapo India.
 
Kumlipa mtu ili akupe kiungo cha mwili ni kosa kisheria.

Hushangai P Square mama yao alikufa lakini kiungo wangeweza kununua?

Hilo tangazo ni feki usijichomeke.
Mkuu hawajasema wananunua wao wanaomba msaada 10m ni shukran
 
watatoa asante au wananunua kwa 10m ongezeni hela hata ifike. 40m kujilipua uko mtu ajenge hata kibanda
na nyie ndugu wote mna matatizo au mnaogopa kufa
Natamani ndugu wangekuwepo wakajibu hili
 
50 ni pm mkuu
 
dah nipo tayari kutoa kwa laki (100,000) tatizo nakunywa pombe kali sana itakua imedhurika kidogo kama upo tayari ni pm mzee tufanye business..
Ukitoka kwenye upasuaji inabidi utafute usafiri wa daladala ili 100,000 isiishe uendapo
 
Navyoogopa kufanyiwa upasuaji hapana japo nahitaji pesa lakin sio kwa njia hii
Unaweza fanyiwa usirudi na madaktari wetu hawa
Dau likongezeka na kufikia mil.150 ?bado unaogopa??
 
Mbona dau dogo, waongeze basi! kama Bil 199 hivi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…