Ndugu zangu watanzania hasahasa Watanganyika wenzangu. Suala la bandari msilichukulie poa. Baada ya miaka 60 humu wote hatutakuwepo ila wanetu na wajukuu zetu watakuwepo.
Ebu fikiria wanetu waanze kuwa watumwa tena wa Warabu au wazungu, hvi watatuelewaje?
Hii issue sio ya chadema au ya Silaa ni yetu sote tunaoitakia mema nchi yetu. Mungu atufungue macho tuone kuwa
1. Hizi battle za wasanii wa bongo fleva ni porojo tu ili tusahau suala la bandari.
2. Kuna matukio mengi sana yatatengenezwa ili kututoa kwenye reli. Tusikubali.
Tunataka bandari zetu.