Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,102
- 2,540
wakati wa fomu sio mwaka huu tunatarajia JPm kukabidhiwa uenyekiti akimalizia kipindi kilichopaki ja JK.CCM ni chama kinachojinasibu kwamba ni chama cha kidemokrasia! Aidha katiba ya chama hicho inaainisha wazi kwamba kila mwanachama ana haki ya kugombea nafasi yoyote ile ikiwemo ya mwenyekiti wa chama Taifa. Katiba inaeleza pia muda wa viongozi wa chama hicho kukaa madarakani ni miaka mitano kila baada ya uchaguzi.Leo hii tunaona figisufigisu zimeanza za kutaka kumng'oa madarakani mwenyekiti Kikwete kabla ya muda wake kwisha kinyume na katiba.Tumesikia pia eti kuna mpango wa 'kumkabidhi' madaraka ya mwenyekiti wa Taifa Rais Magufuli. Tulitarajia kusikia wanachama wakitangaziwa tarehe ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo ili atakayeshinda ndiyo akiongoze chama hicho lakini huko kinachotaka kufanyika ni ukiukwaji mkubwa WA demokrasia na katiba ya chama hicho.Haya yangefanyika kwenye vyama vingine vya siasa tungesikia kelele nyingi kutoka CCM na vyombo vyama vya propaganda ikiwemo ofisi ya msajili WA vyama vya siasa. Tuliona jinsi msajili alivyoingilia uchaguzi wa CHADEMA mpaka kufikia hatua ya kutaka kuwapangia nani agombee na nani asigombee! Tunamtaka msajili aingilie kati ukiukwaji huu WA demokrasia na katiba ya chama hicho unaofanywa na CCM. Najiuliza kama wanasigina katiba ya chama chao wataweza kuilinda katiba ya nchi?
Kwa hiyo kama CHADEMA hakuna demokrasia na CCM hao wakiuke demokrasia?Huko Chadema kuna demokrasia?
ni wapi ilipoandikwa kwenye katiba ya CCM utaratibu huo?wakati wa fomu sio mwaka huu tunatarajia JPm kukabidhiwa uenyekiti akimalizia kipindi kilichopaki ja JK.
kwa taarifa yako CCM sio chadema nimbie katibu mkuu wa chadema ni nani baada ya dr slaa kujiuzuru
Mkuu si kweli katiba ya CCM haisemi Rais ndiyo mwenyekiti wa CCM Taifa. Je CCM isiposhinda urais mwenyekiti atapatikana vipi?Mimi sio CCM ila nathubutu kusema hoja yako ni dhaifu sana.Utaratibu wa kumpata mwenyekiti unaeleweka vyema kwamba atakayekuwa rais wa nchi kupitia chama hicho ndiye atakayekabidhiwa uenyekiti wa chama pia.Vyama vya upinzani ni tofauti kidogo,mwenyekiti huchaguliwa na wanachama.Tatizo linakuja kwa viongozi waliopo madarakani kutokuwa kuwapisha wengine waongoze,hawana tofauti na viongozi wa nchi za kiafrika ambao hupenda kung'ang'ania madaraka.
CCM ni chama kinachojinasibu kwamba ni chama cha kidemokrasia! Aidha katiba ya chama hicho inaainisha wazi kwamba kila mwanachama ana haki ya kugombea nafasi yoyote ile ikiwemo ya mwenyekiti wa chama Taifa. Katiba inaeleza pia muda wa viongozi wa chama hicho kukaa madarakani ni miaka mitano kila baada ya uchaguzi.Leo hii tunaona figisufigisu zimeanza za kutaka kumng'oa madarakani mwenyekiti Kikwete kabla ya muda wake kwisha kinyume na katiba.Tumesikia pia eti kuna mpango wa 'kumkabidhi' madaraka ya mwenyekiti wa Taifa Rais Magufuli. Tulitarajia kusikia wanachama wakitangaziwa tarehe ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo ili atakayeshinda ndiyo akiongoze chama hicho lakini huko kinachotaka kufanyika ni ukiukwaji mkubwa WA demokrasia na katiba ya chama hicho.Haya yangefanyika kwenye vyama vingine vya siasa tungesikia kelele nyingi kutoka CCM na vyombo vyama vya propaganda ikiwemo ofisi ya msajili WA vyama vya siasa. Tuliona jinsi msajili alivyoingilia uchaguzi wa CHADEMA mpaka kufikia hatua ya kutaka kuwapangia nani agombee na nani asigombee! Tunamtaka msajili aingilie kati ukiukwaji huu WA demokrasia na katiba ya chama hicho unaofanywa na CCM. Najiuliza kama wanasigina katiba ya chama chao wataweza kuilinda katiba ya nchi?
Mimi sio CCM ila nathubutu kusema hoja yako ni dhaifu sana.Utaratibu wa kumpata mwenyekiti unaeleweka vyema kwamba atakayekuwa rais wa nchi kupitia chama hicho ndiye atakayekabidhiwa uenyekiti wa chama pia.Vyama vya upinzani ni tofauti kidogo,mwenyekiti huchaguliwa na wanachama.Tatizo linakuja kwa viongozi waliopo madarakani kutokuwa kuwapisha wengine waongoze,hawana tofauti na viongozi wa nchi za kiafrika ambao hupenda kung'ang'ania madaraka.
Kweli mkuu kama wanaona utaratibu huo unawafaa wafanye marekebisho ya katiba hili liingizwe.Absolutely right!! Kama kuna utaratibu uliwekwa kwa wakati fulani ili kukithi mahitaji ya wakati huo usifanywe sasa ndiyo sheria. Kwanza utaratibu huu ni nje ya katiba ya Chama na unakandamiza demokrasia na kazi ya Chama.Tunasema kila siku Kazi ya Chama ni kusimamia serikali halafu
Utaratibu wowote ndani ya taasisi huandikwa na hupitishwa na wanachama. Huu utaratibu wa kuachiana madaraka uliandikwa na nani na ulipitishwa na kikao gani
Kikwete ana majukumu ya kimataifa, panua wigo wako wa kufikiri.CCM ni chama kinachojinasibu kwamba ni chama cha kidemokrasia! Aidha katiba ya chama hicho inaainisha wazi kwamba kila mwanachama ana haki ya kugombea nafasi yoyote ile ikiwemo ya mwenyekiti wa chama Taifa. Katiba inaeleza pia muda wa viongozi wa chama hicho kukaa madarakani ni miaka mitano kila baada ya uchaguzi.Leo hii tunaona figisufigisu zimeanza za kutaka kumng'oa madarakani mwenyekiti Kikwete kabla ya muda wake kwisha kinyume na katiba.Tumesikia pia eti kuna mpango wa 'kumkabidhi' madaraka ya mwenyekiti wa Taifa Rais Magufuli. Tulitarajia kusikia wanachama wakitangaziwa tarehe ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo ili atakayeshinda ndiyo akiongoze chama hicho lakini huko kinachotaka kufanyika ni ukiukwaji mkubwa WA demokrasia na katiba ya chama hicho.Haya yangefanyika kwenye vyama vingine vya siasa tungesikia kelele nyingi kutoka CCM na vyombo vyama vya propaganda ikiwemo ofisi ya msajili WA vyama vya siasa. Tuliona jinsi msajili alivyoingilia uchaguzi wa CHADEMA mpaka kufikia hatua ya kutaka kuwapangia nani agombee na nani asigombee! Tunamtaka msajili aingilie kati ukiukwaji huu WA demokrasia na katiba ya chama hicho unaofanywa na CCM. Najiuliza kama wanasigina katiba ya chama chao wataweza kuilinda katiba ya nchi?
Mimi sio CCM ila nathubutu kusema hoja yako ni dhaifu sana.Utaratibu wa kumpata mwenyekiti unaeleweka vyema kwamba atakayekuwa rais wa nchi kupitia chama hicho ndiye atakayekabidhiwa uenyekiti wa chama pia.Vyama vya upinzani ni tofauti kidogo,mwenyekiti huchaguliwa na wanachama.Tatizo linakuja kwa viongozi waliopo madarakani kutokuwa kuwapisha wengine waongoze,hawana tofauti na viongozi wa nchi za kiafrika ambao hupenda kung'ang'ania madaraka.
Absolutely right!! Kama kuna utaratibu uliwekwa kwa wakati fulani ili kukithi mahitaji ya wakati huo usifanywe sasa ndiyo sheria. Kwanza utaratibu huu ni nje ya katiba ya Chama na unakandamiza demokrasia na kazi ya Chama.Tunasema kila siku Kazi ya Chama ni kusimamia serikali halafu
Utaratibu wowote ndani ya taasisi huandikwa na hupitishwa na wanachama. Huu utaratibu wa kuachiana madaraka uliandikwa na nani na ulipitishwa na kikao gani
Aisee hapo umegusa penyewe sasa tunawakaribisha wale viwavi wanao kesha wanachonga midomo yao juunya vyama vingine kukosa demokrasia,njooni hapa nyie viwavi mkanushe hayaCCM ni chama kinachojinasibu kwamba ni chama cha kidemokrasia! Aidha katiba ya chama hicho inaainisha wazi kwamba kila mwanachama ana haki ya kugombea nafasi yoyote ile ikiwemo ya mwenyekiti wa chama Taifa.
Katiba inaeleza pia muda wa viongozi wa chama hicho kukaa madarakani ni miaka mitano kila baada ya uchaguzi.
Leo hii tunaona figisufigisu zimeanza za kutaka kumng'oa madarakani mwenyekiti Kikwete kabla ya muda wake kwisha kinyume na katiba.Tumesikia pia eti kuna mpango wa 'kumkabidhi' madaraka ya mwenyekiti wa Taifa Rais Magufuli.
Tulitarajia kusikia wanachama wakitangaziwa tarehe ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo ili atakayeshinda ndiyo akiongoze chama hicho lakini huko kinachotaka kufanyika ni ukiukwaji mkubwa WA demokrasia na katiba ya chama hicho.
Haya yangefanyika kwenye vyama vingine vya siasa tungesikia kelele nyingi kutoka CCM na vyombo vyama vya propaganda ikiwemo ofisi ya msajili WA vyama vya siasa. Tuliona jinsi msajili alivyoingilia uchaguzi wa CHADEMA mpaka kufikia hatua ya kutaka kuwapangia nani agombee na nani asigombee!
Tunamtaka msajili aingilie kati ukiukwaji huu WA demokrasia na katiba ya chama hicho unaofanywa na CCM. Najiuliza kama wanasigina katiba ya chama chao wataweza kuilinda katiba ya nchi?
Huu uzi unawahusu ccm,hizo habari za cdm wachana nazo kwanza tuchangie hoja iliyopo mezani kwanini ccm mnaibaka demokrasia?kwani jk kawafanyia nini baya hadi mtake kumg'oa?Huko Chadema kuna demokrasia?