Fifa13 in win8

Fifa13 in win8

Epicauta elbovitata

Senior Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
143
Reaction score
19
Greetings wana jf.
First i know kama kuna member wa hili game basi its likely mtakua mmecome across this setback so please any1 who knw how to solve this i wilk appreciate th help.

Okey tangu niweke win8 kene Pc fifa13 haitak kucheza..First nlikua nikiistart inaniletea Error msg kuwa kuna dldea.dll cjui inamiss xo haiwez kuplay, nikaona isiwe tabu nikaidownload iyo .dll iliyomíss n to my supprise pia haitak kuplay nkiistart inaload tu n nthn happens.

Please Natanguliza shukrani for A Help
 
mkuu win8 inasumbua sana kwa compatibility ya games nyingi! Jaribu hii kitu
Right click icon ya hiyo game unayo click kuplay den nenda properties kisha nenda compatibility, after that tick compatibility for window xp sp3 au sp3. Ikishindikana tafuta online crack ambayo iko fixed kua compatible na window 8. Dats all
 
mkuu mi natumia win 8 na nimeinstall hii kwa ajili ya games tu hasa hii fifa 13 na inarun smooth kuliko hata kwenye win 7 (kwa upande wangu maana ninatumia win zote mbili)..so kwa kukusaidia make sure umeinstall na zile directrix na net framework maana na mimi kuna kipindi ilinizingua sana kumbe nilikuwa nimesahau ku install zie, sijajua umetumia source gani kuinstall hiyo game ila baada ya kuinstall nenda kwenye installation folder kisha fungua folder limeandikwa Installer then install hiyo directix na dotnet (hata kama ulishainstall hapo kwanza we kuwa kama unainstall tena baada ya ku install game) hasa hii directix..mimi ndo njia pekee naitumia nikiona inanizingua..
 
Wakuu hata mm hii windows 8 niliinstal ila kuja kuinstal software nyingine kama vile za bluetooth inaniambia sijui no net frame nikashindwa kuelewa wakati nikiinstal windows 7 hainiambii hivyo,msaada yeyote anayejua please.
 
Wakuu hata mm hii windows 8 niliinstal ila kuja kuinstal software nyingine kama vile za bluetooth inaniambia sijui no net frame nikashindwa kuelewa wakati nikiinstal windows 7 hainiambii hivyo,msaada yeyote anayejua please.
hii netframework huwa inasumbua sana hata kwangu ilinitokea nilipotaka kuintall software mpya kwenye window 8ila kitu kizuri huwa inakuletea option wakati huo ya kuidownoal na kuinstall kama nakumbuka sawsawa nahisi ina ukubwa kama wa mb 200+
 
Back
Top Bottom