Mkuu CHUA " jibu hoja ? usiingize ya waKoloni hapa... Maombi yalienda kwa radhaa na baraka ya nani?National prestige bado inawasumbua waafrica wa Zanzibar iwe nchi, kisiwa kilichokuwa part of tangannyika ila waarabu/ukoloni wakakitenganisha kwa maslahi yao! Huwezi toka Oman ukaja mbali kote huku eti ni sehemu ya Oman, rubbish!
Ridhaa ya serikali may be ya Muungano, lakini sidhani kama mtu sensible anaweza kujiingiza kwenye aibu ya kuvunja katiba wazi wazi. Ni kutojua au ni makusudi kutingisha kiberiti kuwa wakipitiwa tumeula!Mkuu CHUA " jibu hoja ? usiingize ya waKoloni hapa... Maombi yalienda kwa radhaa na baraka ya nani?
Tindikali hapa kuna wanaokurupuka !!
Hahahahahahhaha Mpwa hao ndio akili zao zimefikia mwishoKumbe ule wimbo wao wa taifa na bendera ni kazi bure? Kumbe ni kwa vile wana desturi tuu zinazo tofautiana na bara?
Ngoja nasi wa Lushoto tumuombe mshana jr atutungie wimbo wetu wa mahadhi ya mdumange maana Lushoto kuna desturi na mazingira yaliyo tofauti na maeneo mengine ya Tanganyika ili kulinda fahari yetu.
Elli, MANI na zumbemkuu mnahusika
tanzania ni nini?zanzibar ni sehemu ya Tanzania
Usipotoshe umma, hivi mnapata wapi ari ya kudanganya tu. Suala likuwa Zanzibar inihoji FIIFA njia zilizotumiwa na TFF kupata usajili wa FIFA hazikuwa sahihi. Tanzania ni muunganoi wa nchi mbili, hivyo haipaswi chama cha mpira wa mshirika mmoja kuchukua mamalaka ya kumsemea mshirika mwengine,Kuna huu ujumbe mzito ulienda Zurich, Uswisi, kuiombea ZFF uanachama wa FIFA ukiongozwa na Naibu Waziri Kiongozi wa wakati huo Juma Shamhuna, Naibu Waziri wa Michezo Joel Bendera na wengineo kutoka TFF na ZFF.
FIFA iliporudisha majibu faili likafichwa, wakakaa kimya kirefu kumbe wamepigwa chini. Imefahamika Bungeni leo kwa taarifa ya Nape Nnauye, Waziri wa Michezo alipolazimika kujibu swali la Mbunge wa Zanzibar, Hafidh Tahir.
Sababu zilizotolewa: FIFA imesema, kwa mujibu wa ibara ya 10 ya katiba ya FIFA, ZFF haiwezi kupata uanachama kwa vile Zanzibar hapa duniani sio nchi!
Je, Muungano unawazuia Zanzibar kupata misaada ya FIFA kama ilivyokuwa kwa OIC na hivyo kushindwa kuwa "Singapore"?
Ubali wa America na Hawaii vipi?National prestige bado inawasumbua waafrica wa Zanzibar iwe nchi, kisiwa kilichokuwa part of tangannyika ila waarabu/ukoloni wakakitenganisha kwa maslahi yao! Huwezi toka Oman ukaja mbali kote huku eti ni sehemu ya Oman, rubbish!
National prestige bado inawasumbua waafrica wa Zanzibar iwe nchi, kisiwa kilichokuwa part of tangannyika ila waarabu/ukoloni wakakitenganisha kwa maslahi yao! Huwezi toka Oman ukaja mbali kote huku eti ni sehemu ya Oman, rubbish!
Even bofore tanganyika, ukanda wa pwani na zanzibar kabla ya wakoloni ilikuwa kitu kimoja.unakijua ulichokiandika? hiv tanganyika imekuwepo toka lin? na je uanzishwaji wa tanganyika ulijumuisha zanzibar?