inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,770
- 22,568
vipi kuhusu bale,suarez,ronaldo,modricMimi nachoona la liga ipo juu zaidi kuliko epl. Licha ya kulipwa mishahara mikubwa wachezaji wanao cheza epl hawana qualities kuwashinda wale wanaocheza la liga. Kwa mfano hakuna mchezaji hata m1 anayecheza man U, Liverpoll na Arsenal mwenye hadhi ya kuvaa jersey ya Barcelona, Madrid au A madrid. Ila woote wanaocheza hivyo vilabu vi3 nilivyovitaja hapo wanao uwezo wa kuvaa jersey za asena, livapuli na manchester na wakaperform vizuri ile mbaya.
Wengi wetu tunapenda kuangalia epl ambayo vyombo vingi vya habari wanaipa promo huku soka linalochezwa likiwa bovu bila mvuto. Kuna mtu mmoja aliwahi kusema wachezaji woote waliitoja la liga ndio wanairun epl. Akaweka ba orodha yao. Kun Aguerro, Silva, Toure yaya, Navas, Cazolla, Fabbie, Mata Azpicuelta na wengine hawa ndio wanaotia ladha ya kiisponiola epl.
Hujishangai upo mwenyewe unayetetea??arsenal alimfunga barcelona,hapakua na xavi,iniesta wala messi,mechi ya marudiano refa alipoona hali mbaya akatoa kadi nyekundu kwa van persie tena arsenal ikiwa na wachezaj saba wa kikosi cha kwanza wakiwa majeruhi,barcelona hyohyo ikatolewa na chelsea nusu fainali
coutinho,sanchez,ozil,hazard,willian..halafu hao wanaocheza la liga wanatokea wapi?Mimi nachoona la liga ipo juu zaidi kuliko epl. Licha ya kulipwa mishahara mikubwa wachezaji wanao cheza epl hawana qualities kuwashinda wale wanaocheza la liga. Kwa mfano hakuna mchezaji hata m1 anayecheza man U, Liverpoll na Arsenal mwenye hadhi ya kuvaa jersey ya Barcelona, Madrid au A madrid. Ila woote wanaocheza hivyo vilabu vi3 nilivyovitaja hapo wanao uwezo wa kuvaa jersey za asena, livapuli na manchester na wakaperform vizuri ile mbaya.
Wengi wetu tunapenda kuangalia epl ambayo vyombo vingi vya habari wanaipa promo huku soka linalochezwa likiwa bovu bila mvuto. Kuna mtu mmoja aliwahi kusema wachezaji woote waliitoja la liga ndio wanairun epl. Akaweka ba orodha yao. Kun Aguerro, Silva, Toure yaya, Navas, Cazolla, Fabbie, Mata Azpicuelta na wengine hawa ndio wanaotia ladha ya kiisponiola epl.
wengi katika watu ni wajinga,usifate uwingiHujishangai upo mwenyewe unayetetea??
Unafurahisha sanawengi katika watu ni wajinga,usifate uwingi
namzidi mamaako mdogo umri na elimuUnamiaka mingapi!!!naona unaandika uharo tu hapa.
vipi,umemaliza matusi?Unafurahisha sana
Hizi nguvu za ubishi ziweke kwenye kutafuta pesa.. Miaka 28 kukaa siku nzima unabisha jambo moja inaonekana huna shughuli ya kufanya... Jitahidi shemeji anakereka na uwepo wako usio na faida hapo kwakevipi,umemaliza matusi?
stats zipi unataka?..magoli,assist au work rateHaya sasa mahaba yamezidi baada ya messi ronaldo anafuata suarez halafu neymar so usimfananishe huyo jamaa yako na suarez maana Ana safari ndefu kumfikia. Weka stats za coutinho na suarez halafu tulinganishe.
labda kama unataka nikuajiri,unadhan kila mtu inabid aamke mapema kila siku na kurudi usiku kwa ajili ya kutafuta fedha?..nilipokua na miaka 28 nilikua nafanya mastersHizi nguvu za ubishi ziweke kwenye kutafuta pesa.. Miaka 28 kukaa siku nzima unabisha jambo moja inaonekana huna shughuli ya kufanya... Jitahidi shemeji anakereka na uwepo wako usio na faida hapo kwake
JF bana kila mtu kajiajiri na kila mtu ana elimu zaidi ya kadegree hehehehehelabda kama unataka nikuajiri,unadhan kila mtu inabid aamke mapema kila siku na kurudi usiku kwa ajili ya kutafuta fedha?..nilipokua na miaka 28 nilikua nafanya masters
kama unaona degree kitu cha maana sana basi utakua nyuma sana kifikraJF bana kila mtu kajiajiri na kila mtu ana elimu zaidi ya kadegree hehehehehe
JF huwa inafurahisha sana.. Lakini huku kwenye dunia halisi tukikutana mnatia huruma sana..kama unaona degree kitu cha maana sana basi utakua nyuma sana kifikra
umekutana na nan wa jf huko duniani?lala uwahi kibaruani keshoJF huwa inafurahisha sana.. Lakini huku kwenye dunia halisi tukikutana mnatia huruma sana..
Njoo basi huku duniani tufahamiane mkuu.. Labda nitapata kibarua cha kukata Majani kwakoumekutana na nan wa jf huko duniani?lala uwahi kibaruani kesho
sifahamiani na watu waliopata malezi yenye mapungufu,siku ukiwa na busara ukajifunza kua kutukana watu na hasa usiowajua ni jambo baya..tutatafuta nafasi tufahamianeNjoo basi huku duniani tufahamiane mkuu.. Labda nitapata kibarua cha kukata Majani kwako
Timu zenu zote kubwa zime draw...maanake zote ni dhoofir hal...walianza Man juzi sasa na hao wengine mechi kali iko wapi? Hebu subiria Arsenal na Barcelona hivi karibuni mfundishwe soccerHata mgao wa pesa ya matangazo ya television ni real mad na barca ndo team zinapata mgao mkubwa kuliko team zingine..ligi bora team mbili? Hapa nasubiri bonge ya match..liverpool vs Arsenal.
timu gan haijawah kudroo?Timu zenu zote kubwa zime draw...maanake zote ni dhoofir hal...walianza Man juzi sasa na hao wengine mechi kali iko wapi? Hebu subiria Arsenal na Barcelona hivi karibuni mfundishwe soccer
Nilimaanisha game zitakua na ushindani mkubwa sana...nadhani umeshuhudia mwenyewe.Timu zenu zote kubwa zime draw...maanake zote ni dhoofir hal...walianza Man juzi sasa na hao wengine mechi kali iko wapi? Hebu subiria Arsenal na Barcelona hivi karibuni mfundishwe soccer