Fifa WC song Dimond ndani?

This is not good for us, haters. Shonza do something please.
 
Licha ya madhaifu na mambo yake mengine kama binadamu tulivyo, jamaa ana kipaji. Huwezi kushindana na mwenye kipaji.
 
Vp yule dogo mwenzake na yy ndani ama?
 
Taarifa hii haikuwa nzuri kabisa kule clouds, maisha aya mh...
 
Mbona Alikiba kaimba kwenye makombe ya dunia tangu 1998 ,2002 , 2006 ,2010 sema hapendi kujionesha jukwaani tu..
Mondi kupewa hako kamoja tu tena urusi palipochoka ndo mnaongea hivyo
 
Diamond labda kuimba tu jukwaani..

Following in the illustrious footsteps of Shakira, Anastacia and Pitbull, it’s been announced that Jason Derulo has been entrusted with singing the official anthem for the 2018 World Cup.

For the uninitiated, Derulo is the man behind such songs as ‘Swalla’, ‘Wiggle’, ‘Tip Toe’, ‘Bubblegum’, ‘Trumpets’ and ‘Zipper’.

Anyway, the 2018 World Cup song is called ‘Colors’ and without even listening to it we can confirm it’s a banal paean to inclusiveness, global coming-together and superficial sporting positivity.
 
Source mkuu nikachungulie
 
Mbona Alikiba kaimba kwenye makombe ya dunia tangu 1998 ,2002 , 2006 ,2010 sema hapendi kujionesha jukwaani tu..
Mondi kupewa hako kamoja tu tena urusi palipochoka ndo mnaongea hivyo
Sawaa
 
Hiyo nyimbo imetoka mbona yupo Derulo peke yake
 

Hiyo nyimbo imetoka mbona yupo Derulo peke yake
Soma komenti ya huyo Dada tafadhari
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…