palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Na kibaya zaidi mashindano haya yanavuruga ratiba za ligi mataifa mbalimbali, lakini yeye hizo gharama haangalii, kisa rushwa, na uzee wote anang'ang'ania tu FIFA.
Inawezekana ndiyo mpango wenyewe. Iweje hao wote wahusike yeye asiwepo?
Na wanapelekwa Marekani kujibu mashitaka maana wamekamatwa kwa maombi ya Marekani.
Tayari David Cameron ametoa mwito Joseph ajiuzulu.wenye hasira kubwa na waingereza baada ya kukosa kuandaaa world up 2022.
Mkuu wangu nakusoma kwa ukaribu mno.Mkuu Blatter anaweza kuwa na matatizo yake, lakini nia hasa hasa ya Merikani ni kuifanyia hujuma Urusi ili hisiwe mwenyeji wa kombe la DUNIA - wanaendeleza chuki zao kwa PUTIN!! Merikani na Uingereza tabia hii wanayo sana kama sio Blatter kuwa na msimamo Mataifa mengi ya Dunia ya tatu yasingeweza kukubaliwa ku-host World CUP. Chukulia mfano wa Africa kusini - Uingereza na Merikani walisha hanzisha hujuma zao wanadai Africa kusini hafai kutokana na usalama mdogo - walisha jipanga mashindano hayo yahamishiwe Uingereza, wana ubinafsi wa kushangaza - Waingereza wanatamani mchezo huo uhamishiwe Uingereza ndio maana wanachochea chochea mambo haya na hawaja hanza leo.
Hivi nani kampa mamlaka Merikani kujihusisha na mashtaka ambayo haya kuwa comitted kwenye Taifa lao - sana sana Merikani ingehamuru makampuni ya Taifa hilo kusitisha ku-sponsor michezo ya FIFA - lakini hili la kujitia kimbelembele linatia shaka sana, after all soca sio jadi ya Taifa hilo linataka kuchanganya mambo ya siasa na michezo kwa manufaa yao ya kijinga tu. Blatter alikuwa anapinga siku zote wanasiasa kuingilia michezo, Blatter aliwahi kushawishiwa na Merikani eti hasikubali PUTIN ku-host World CUP - Merikani kulivalia njuga suala hili ni mwendelezo wa njama zake za siku nyingi!! Narudia, bila Blatter kuwa na msimamo thabiti Kombe la Dunia lingekuwa linachezwa kwenye Nchi za Ulaya na Merikani basi.
Mkuu Blatter anaweza kuwa na matatizo yake, lakini nia hasa hasa ya Merikani ni kuifanyia hujuma Urusi ili hisiwe mwenyeji wa kombe la DUNIA - wanaendeleza chuki zao kwa PUTIN!! Merikani na Uingereza tabia hii wanayo sana kama sio Blatter kuwa na msimamo Mataifa mengi ya Dunia ya tatu yasingeweza kukubaliwa ku-host World CUP. Chukulia mfano wa Africa kusini - Uingereza na Merikani walisha hanzisha hujuma zao wanadai Africa kusini hafai kutokana na usalama mdogo - walisha jipanga mashindano hayo yahamishiwe Uingereza, wana ubinafsi wa kushangaza - Waingereza wanatamani mchezo huo uhamishiwe Uingereza ndio maana wanachochea chochea mambo haya na hawaja hanza leo.
Hivi nani kampa mamlaka Merikani kujihusisha na mashtaka ambayo haya kuwa comitted kwenye Taifa lao - sana sana Merikani ingehamuru makampuni ya Taifa hilo kusitisha ku-sponsor michezo ya FIFA - lakini hili la kujitia kimbelembele linatia shaka sana, after all soca sio jadi ya Taifa hilo linataka kuchanganya mambo ya siasa na michezo kwa manufaa yao ya kijinga tu. Blatter alikuwa anapinga siku zote wanasiasa kuingilia michezo, Blatter aliwahi kushawishiwa na Merikani eti hasikubali PUTIN ku-host World CUP - Merikani kulivalia njuga suala hili ni mwendelezo wa njama zake za siku nyingi!! Narudia, bila Blatter kuwa na msimamo thabiti Kombe la Dunia lingekuwa linachezwa kwenye Nchi za Ulaya na Merikani basi.
Mkuu wangu nakusoma kwa ukaribu mno.
Unazo hoja za msingi. Lakini mwanya wanaopata Marekani na Uingereza kutimiza azma yao ni rushwa iliyokithiri pale FIFA. Haiwezekani watu wake wa karibu wahusike yeye asiwemo.
Awe na msimamo sawa, lakini pia awe msafi. Mtu wa chini yake akipiga US Dollars 10m , yeye atakuwa kapiga ngapi?