Kuna watu humu wanasema ladha ya soka itapungua.
Nina maswali machache tu kwao;
1. Hizi Sheria zilizopo walishiriki kuziweka?
2.Je, zingekuwa Sheria 10 tu , mungesema Sheria ziko chache hivyo ladha ya soka itapungua?
Waacheni watu wenye akili wabuni kitu ambacho wao wanaona kinafaa, sisi wajibu wetu ni kuiga na kukubali basi