Kesho Spain vs Tahiti,kwanza hongera Spain under 21 kina De Gea,Thiago,Montoya,Morata,Isco nk kwa kubeba mara ya pili mfululizo euro u 21 huko Israel kama kaka zao La Furia Roja,wamewachapa Italy(Borini) jana ktk final 4-2 Thiago kafunga hat trick,kesho La Furia wanacheza na timu namba 131 ktk list ya soka duniani,yaani namba 1 vs 131 kazi kwelikweli hapo,kwao wakifunga goli hao Tahiti ni kama wameshinda,maana kina Suarez,Cavani na Forlan aliignia juzi walikuwa mabeki walipochapwa 2-1 na Spain wakiomba mpira uishe