Historia inaonyesha Ligi ya Hispania ndio inatoa sana wachezaji bora nyuma ya miaka 5 ila tushachoka kumuona messi anabeba ingekuwa alichofanya Van Parsia mwaka Jana ligi ya EPL angefanyia Spain angepata Van Parsie ila pia nje nampa Ribery kwa mwaka Jana alichofanya na Beyern Munich, tukitizama soka la huu msimu ulivyoanza nawapa watu wawili kwenye ligi za European zlatan na Ramsey wa Arsenal nyuma Yao Ozil na Suarez Kama angeanza Game 10 za nyuma. Zaidi ya hapo Ribery atachukua. Na Manager aliyekuwa Bayern Munich mwaka Jana.
Na hao makocha je? Mourinho na Wenger wanastahili kuwemo hata kwenye shortlist?
hao hawana vigezo aseee! coz cjaona chajabu walicho fanya labda dis tym. mr
Frank Ribery, alikuwa na msimu mzuri pamoja na Arjen Robben kule munich (German) kule spain kama kawa Leone Messi, CR7, Rodamel Falcao, Andrea Iniesta Lujan, na Xavi walikuwa juu. Kule epl ni RVP, Luis Suarez,. Kati ya hao hapo namwona Leonel Messi, Ribery na Christiano Ronaldo,ndio wapo kwenye nafasi ya kupata ballon d'or.
Kocha je?
Mata alikuwa Chelsea best player of the year.
Lakini hayuko kwenye list. Badala yake yuko Hazard.
Au ina maana kuwa Hazard aliperform vizuri zaidi kwenye national team kuliko Mata?
Watetezi wa Mata mko wapi?
makocha watatu wanastahili tuzo, kwanza ni Jupp Henckey aliyekuwa kocha wa munich, kawapa bayern ubingwa wa bundesliga, na cl. Rafael Banitez yeye anaingia hapa kwa kuwa aliwapa chelsea ubingwa wa europa ligi. Na mwisho mzee Fagasoni. Kaipa man u ubingwa wa epl. Kwangu mimi, ningependa wampe tuzo huyu mzee. C unajua hata kule epl tunakosa vitu vyake.
Mata alikuwa Chelsea best player of the year.
Lakini hayuko kwenye list. Badala yake yuko Hazard.
Au ina maana kuwa Hazard aliperform vizuri zaidi kwenye national team kuliko Mata?
Watetezi wa Mata mko wapi?
Wengi kwenye hiyo list can count themselves very lucky to be there.
Yaani wengi wamekuwa nominated based on their reputation.
Watu kama Mourinho hawakutakiwa kuwa pale.
Kuwekwa kwa Ferguson ni maajabu. Si kamanage timu nusu mwaka tuu?
Maybe he did an amazing job in those six months.
Halafu sijui ni kwa nini Bosque anakuwepo sana kwenye hiyo list wakati kulikuwa hakuna hata major international competition.
Watu kama Diego Simeone, Montella, etc should have been there.
My vote would go kwa yule kocha wa Bosnia & Herzegovina ambaye hayupo hata kwenye hiyo list.
Huyu kocha kaifikisha timu ya taifa lake changa kwenye fainali za kombe la dunia kwa mara ya kwanza.
Kaliwezesha taifa lake changa kufikia rank ya 12 ya timu bora duniani kwa muda mfupi sana. Inawezekana kabosa Bosque asingeweza kuachieve hivyo maana Spain inaweza kucheza na kushinda kombe la dunia bila kuwa na kocha.
Mwingine ningemuongeza hapo ni kocha wa team ya taifa ya Belgium