FIFA 20

NEMEZIZ

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
563
Reaction score
337
Kwenu wakuu,


Leo katika kupita pita kwangu nilikuwa nasubiria lini EASPORTS ambao wanahusika katika kuandaa video games mojawapo ni FIFA, katika miaka kaadhaa kama 7-8 nimekuwa nikisoma sana maombi na malalamiko ya watumiaji wa FiFa katika platforms tofauti tofauti ambazo zilikuwa zikitaka waifufue upya FIFA STREET ambayo mara ya mwisho ilitoka mnamo mwaka 2012. mmoja wapo kati ya tuliobahatika kuicheza na kuipenda hii game ni mimi, lakini sasa wameamua kuja na jina jipya lakini halijabadili mfumo na hata viwanja japo saivi watatumia wachezaji 3 Vs 3 bila kipa ni kitu kizuri. tutegemee FIFA 20 mpya, nakaribisha wajuvi wengine walete maoni na mapungufu kwenye uzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…